Pambalu, Mwaipaya, Lema, Asenga, Hilda, Heche na Mdude mnaiua Chadema

yani ulowataja hapo kuna vichwa panzi wa hatari.... halaf wanajiita eti activists.....mara sijui am back from prison..... mwingine eti Exiled in canada 🤣 wanakera sana sijui kama wanalifahamu hilo
SIKUHIZI TENA WAMEANZA KUWALIPA ..?7000/-
 
Nenda mahakamani kama unaona wanatumia lugha za matusi
 
Bora hao kuliko nyie uvccm mliojigeuza panya road na kuwapora raia mali zao na kuwaumiza. Uvccm ni uzao wa nyoka kabisa mashetani wakubwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…