Pambalu: Sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

Your browser is not able to display this video.
 
Ndio maana uwenyekiti wa kanda alitoswa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…