Pambalu: Sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike

Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

View attachment 3157083
hao ndio vijana wa chadema walioathirika kwa laana baada ya wazazi wao wa BAWACHA kuchoma vitenge hadharani huku wanaovihitaji vitenge hivyo viwasitiri huku wakitazama tukio hilo kwa uchungu sana....

na huyu kijana anaelekea kua confused kabisa mentaly, na ndiyo maana kila kiki anayoibuka nayo inabuma na unapuuzwa, kuwasababu ya utovu wa nidhamu na kukosa heshma kwa viongozi wa kitaifa 🐒
 
hao ndio vijana wa chadema

na huyu anaelekea kua confused kabisa mentaly, na ndiyo maana kila kiki anayoibuka nayo inabuma,
Ilikuwa laana zaidi kusalia na manung'niko moyoni mwao kuliko kutokuwa wanafiki na kiyaficha ya motoni,kwa mujibu wa imani zao huenda walijochotea baraka.
 
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

View attachment 3157083
Hizi speech zinawaudhi Chawa wa Mama na wanatamani wakanyakue (kumteka) hapohapo kisha wakaue na kumtupa kule pori la Katavi au Ununio..😧
 
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

View attachment 3157083
Acheni kufanya siasa kwenye kila kitu hapo ndiyo mnafeli kama chama cha siasa.

Kwanini nchi ina Makamu wa Rais na nchi ina Waziri Mkuu?? Ni kwa sababu iko siku Rais anakuwa hayupo then wasaidizi wake wana takeover.

Tulimlaumu Magufuli kwa kuwa One-Man-Show, maana alikuwa anaamua kila kitu mwenyewe bila kushirikisha watu. Na huyu naye tunamlaumu kwa kushirikisha wasaidizi wake
 
Sadly cdm walikuwa wanatoa product nzuri sana za kina Mdee na zito naona saivi wanazalisha wapuuzi kama huyu pambalu.
 
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

View attachment 3157083
Mwenyekiti mpumbavu tangia Bavicha iundwe
 
Hivi huyu jamaa yupo sawa kichwani kweli? Au ana matatizo kichwani yanayohitaji matibabu ya haraka? Maana naona ni kama ana matatizo makubwa sana na hajitambui kabisa.
 
Acheni kufanya siasa kwenye kila kitu hapo ndiyo mnafeli kama chama cha siasa.

Kwanini nchi ina Makamu wa Rais na nchi ina Waziri Mkuu?? Ni kwa sababu iko siku Rais anakuwa hayupo then wasaidizi wake wana takeover.

Tulimlaumu Magufuli kwa kuwa One-Man-Show, maana alikuwa anaamua kila kitu mwenyewe bila kushirikisha watu. Na huyu naye tunamlaumu kwa kushirikisha wasaidizi wake
Lakini fuatilia nchi za wenzetu. Hata kama Rais alikuwa ziarani nje ya nchi, yakitokea maafa nchini mwake, anakatiza safari na kurudi nchini mwake.
 
Vipi umekimbia matibabu?
Ndio, nimemuacha Lissu Hospitali, anadai yeye ndio daktari mkuu, anataka manesi na madaktari walazwe kwenye wodi za vichaa, mkononi ana chupa ya koka, yeye anadai ni sindano, anataka awachome
 
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

View attachment 3157083
Kumbe BAVICHA bado ipo? Baada ya John Heche kustaafu Uenyekiti wa BAVICHA Taifa, siioni nguvu ya BAVICHA kabisa
 
Upende usipende, iwe mvua, iwe jua na uchaguzi ukiwa huru na haki Pambalu ndiye Mbunge wa Nyamagana 2025.
 
Back
Top Bottom