Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Huyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyamaganaKabisa, hakuna la maana zaidi ya kuzungusha kichwa kama yale mandege yanaitwa "balwe" Au "kimilanzoka"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyamaganaKabisa, hakuna la maana zaidi ya kuzungusha kichwa kama yale mandege yanaitwa "balwe" Au "kimilanzoka"
Usijitoe akili, jibuni swali.Kwani wanawake wanabeba majeneza na kuzika siku hizi? au ndio kuishiwa hoja
Ni tofauti kabisa; hakuna mlinganisho wa aina yoyote kati ya hao mama wawili "mama mwenye kichanga" na "mama mwenye msiba"Paliwahi tokea Jirani mmoja akawa anaacha kichanga ndani Kisha anakwenda kujiuza!!
Dogo apunguze mbelele asije akauwawa..Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.
"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"
View attachment 3157083
Erythrocyte unahangaika sana.Mbunge wa mioyo ya wananchi wake
Mabula atampiga kama ngoma ya bhagikaHuyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyamagana
Huyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyamaKabisa, hakuna la maana zaidi ya kuzungusha kichwa kama yale mandege yanaitwa "balwe" Au "kimilanzoka"
Mabula akishinda mi nahama mwanzaMabula atampiga kama ngoma ya bhagika
😂😂Huyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyama
Mabula akishinda mi nahama mwanza
hamna hoja kadandia tukio tu aache porojo alete ilani na sera za chama wananchi tuzifahamuIelewe hoja yake ndo uje kucoment tena
Tuliza kipara dawa ikuingie.Ndio maana uwenyekiti wa kanda alitoswa!
Acheni kufanya siasa kwenye kila kitu hapo ndiyo mnafeli kama chama cha siasa.
Kwanini nchi ina Makamu wa Rais na nchi ina Waziri Mkuu?? Ni kwa sababu iko siku Rais anakuwa hayupo then wasaidizi wake wana takeover.
Tulimlaumu Magufuli kwa kuwa One-Man-Show, maana alikuwa anaamua kila kitu mwenyewe bila kushirikisha watu. Na huyu naye tunamlaumu kwa kushirikisha wasaidizi wake
Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?
Mkuu huu ni mfano rahisi na unaoeleweka kwa hadhira vizuri. Ameeleweka!!!Hizi ndio hoja zitakazo wawezesha CHADEMA kuchukua nchi 2025😊
Mkuu vitu vya kijinga vingesajiliwa kisheria???Acha kufananisha Chama Tawala na vitu vya kijinga
Usimpangie ratiba, ye ndiye anajuwa nini kilokuwa kizito kati ya kwenda Brazil kwa mualiko Prez Lula au kushinda Kariakoo kwenye nyumba iliyoangukaAngeeleweka kama huko brazil angetuma mwakilishi badala ya kuamua kwenda na kuacha janga nyumbani .
Yeye ndio CinC
Usimpangie ratiba, ye ndiye anajuwa nini kilokuwa kizito kati ya kwenda Brazil kwa mualiko Prez Lula au kushinda Kariakoo kwenye nyumba iliyoanguka
your MATTER COREBavicha ni nini kwani?
Mama Abduli asiyekuelewa hapa bhasi Tena😂.Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?