Pambalu: Sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike

Pambalu: Sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike

Kabisa, hakuna la maana zaidi ya kuzungusha kichwa kama yale mandege yanaitwa "balwe" Au "kimilanzoka"
Huyo ndo mbunge wetu wana mwanza 2025 ukiwemo na wewe tukutane nyamagana
 
Paliwahi tokea Jirani mmoja akawa anaacha kichanga ndani Kisha anakwenda kujiuza!!
Ni tofauti kabisa; hakuna mlinganisho wa aina yoyote kati ya hao mama wawili "mama mwenye kichanga" na "mama mwenye msiba"
 
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.

"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"

View attachment 3157083
Dogo apunguze mbelele asije akauwawa..

Aache matusi ya nguoni kwa taasisi ya uraisi..

Angeongelea mambo ya msingi hapo mhandu,mahina,butimba,tambuka reli,mkolani E.t.c kifupi aache siasa za rejarejaa
 
Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?
 
Acheni kufanya siasa kwenye kila kitu hapo ndiyo mnafeli kama chama cha siasa.

Kwanini nchi ina Makamu wa Rais na nchi ina Waziri Mkuu?? Ni kwa sababu iko siku Rais anakuwa hayupo then wasaidizi wake wana takeover.

Tulimlaumu Magufuli kwa kuwa One-Man-Show, maana alikuwa anaamua kila kitu mwenyewe bila kushirikisha watu. Na huyu naye tunamlaumu kwa kushirikisha wasaidizi wake

Angeeleweka kama huko brazil angetuma mwakilishi badala ya kuamua kwenda na kuacha janga nyumbani .
Yeye ndio CinC
 
Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?
 
Attachments

  • 4900139-0291b2ca9c7d3b297e2c695a9fc8f5a.mp4
    4.5 MB
Acha kufananisha Chama Tawala na vitu vya kijinga
Mkuu vitu vya kijinga vingesajiliwa kisheria???

Vitu vya kijinga vingeleta hofu hadi kutekwa???

Ingekuwa vya kijinga hofu inatoka wapi ya kuengua wagombea wao???

Hapa umeonyesha ni jinsi gani ulivyo mweupe upstairs, wenzako tunakuzoom tu!!

Umetuacha midomo wazi!!!
 
Angeeleweka kama huko brazil angetuma mwakilishi badala ya kuamua kwenda na kuacha janga nyumbani .
Yeye ndio CinC
Usimpangie ratiba, ye ndiye anajuwa nini kilokuwa kizito kati ya kwenda Brazil kwa mualiko Prez Lula au kushinda Kariakoo kwenye nyumba iliyoanguka
 
Usimpangie ratiba, ye ndiye anajuwa nini kilokuwa kizito kati ya kwenda Brazil kwa mualiko Prez Lula au kushinda Kariakoo kwenye nyumba iliyoanguka
 
Attachments

  • 4900139-0291b2ca9c7d3b297e2c695a9fc8f5a.mp4
    4.5 MB
Pumbulu kawa mjinga sana. Wanawake huwa hawasimamii misiba. Wao hukaa na kulia tu. Kila kitu hufanywa na wanaume. Huo mfano wake ni irrelevant. Au wanaJF mlishawahi kuona kina mama wanaenda kununua jeneza?
Mama Abduli asiyekuelewa hapa bhasi Tena😂.
 
Back
Top Bottom