Chama twawala lazima kifananishwe na fisi mlaku wa madoa doa kwa kuwa yupo mwenzao alishawahi kuwaachia laana kuwa ndani mwao yamejaa mafisi malafi.Acha kufananisha Chama Tawala na vitu vya kijinga
hao ndio vijana wa chadema walioathirika kwa laana baada ya wazazi wao wa BAWACHA kuchoma vitenge hadharani huku wanaovihitaji vitenge hivyo viwasitiri huku wakitazama tukio hilo kwa uchungu sana....Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.
"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"
View attachment 3157083
Ilikuwa laana zaidi kusalia na manung'niko moyoni mwao kuliko kutokuwa wanafiki na kiyaficha ya motoni,kwa mujibu wa imani zao huenda walijochotea baraka.hao ndio vijana wa chadema
na huyu anaelekea kua confused kabisa mentaly, na ndiyo maana kila kiki anayoibuka nayo inabuma,
😂😂Yuko sahihi ngoja UVCCM waje
Hizi speech zinawaudhi Chawa wa Mama na wanatamani wakanyakue (kumteka) hapohapo kisha wakaue na kumtupa kule pori la Katavi au Ununio..😧Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.
"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"
View attachment 3157083
Acheni kufanya siasa kwenye kila kitu hapo ndiyo mnafeli kama chama cha siasa.Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.
"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"
View attachment 3157083
Mwenyekiti mpumbavu tangia Bavicha iundweMwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.
"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"
View attachment 3157083
Vipi umekimbia matibabu?Mwenyekiti wa Bavicha hopeless kabisa, hakubaliki hata mtaani kwao huko Butimba
Lakini fuatilia nchi za wenzetu. Hata kama Rais alikuwa ziarani nje ya nchi, yakitokea maafa nchini mwake, anakatiza safari na kurudi nchini mwake.Acheni kufanya siasa kwenye kila kitu hapo ndiyo mnafeli kama chama cha siasa.
Kwanini nchi ina Makamu wa Rais na nchi ina Waziri Mkuu?? Ni kwa sababu iko siku Rais anakuwa hayupo then wasaidizi wake wana takeover.
Tulimlaumu Magufuli kwa kuwa One-Man-Show, maana alikuwa anaamua kila kitu mwenyewe bila kushirikisha watu. Na huyu naye tunamlaumu kwa kushirikisha wasaidizi wake
Ndio, nimemuacha Lissu Hospitali, anadai yeye ndio daktari mkuu, anataka manesi na madaktari walazwe kwenye wodi za vichaa, mkononi ana chupa ya koka, yeye anadai ni sindano, anataka awachomeVipi umekimbia matibabu?
Baraza la vichaa chamaziBavicha ni nini kwani?
Kumbe BAVICHA bado ipo? Baada ya John Heche kustaafu Uenyekiti wa BAVICHA Taifa, siioni nguvu ya BAVICHA kabisaMwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini.
"Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike nk ilihali ule msiba unamuhusu. Sijawahi kuona mama wa hivi duniani isipokuwa huyu tuliye naye"
View attachment 3157083
Jadiri alichosemaMwenyekiti wa Bavicha hopeless kabisa, hakubaliki hata mtaani kwao huko Butimba