Hilo lilifahamikaView attachment 3691756
Mkurugenzi wa oganaizesheni na uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu anatuhumiwa kwa makosa ya ugaidi, taarifa zimeeleza.
Soma pia:
- Wakili Kisabo: Jeshi la Polisi litoe taarifa rasmi kuhusu alipo kada wa Chadema, John Pambalu
- CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha
Pambalu alikamatwa Oktoba 14, 2026 jijini Arusha na kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam, ambapo Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano, Breda Rupia aliandika katika ukurasa wake wa X kuwa ameshafikishwa kituo kikuu ha polisi cha Kanda ya Dar es Salaam.
Akizungumzia tukio hilo Oktoba 16, Wakili Hekima Mwasipu aliyekuwa kituoni hapo amesema, “anatuhumiwa kwa ugaidi,”
Hata hivyo, Mwasipu amesema bado anaendelea kuandika maelezo yake kituoni hapo.
well done vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania, kwa kazi kubwa na nzuri sana hususani ya kusambaratisha viongozi na magenge yao ya kihalifu hususani hayo magaidi.View attachment 3691756
Mkurugenzi wa oganaizesheni na uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu anatuhumiwa kwa makosa ya ugaidi, taarifa zimeeleza.
Soma pia:
- Wakili Kisabo: Jeshi la Polisi litoe taarifa rasmi kuhusu alipo kada wa Chadema, John Pambalu
- CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha
Pambalu alikamatwa Oktoba 14, 2026 jijini Arusha na kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam, ambapo Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano, Breda Rupia aliandika katika ukurasa wake wa X kuwa ameshafikishwa kituo kikuu ha polisi cha Kanda ya Dar es Salaam.
Akizungumzia tukio hilo Oktoba 16, Wakili Hekima Mwasipu aliyekuwa kituoni hapo amesema, “anatuhumiwa kwa ugaidi,”
Hata hivyo, Mwasipu amesema bado anaendelea kuandika maelezo yake kituoni hapo.
Kuna Watu wanaamini Pambalu ni mpinzaniView attachment 3691756

Mbwa ukimjua jina hakusumbui, tulishajua mapemaSiku hizi ugaidi na uhaini ndio tuhuma za mwisho za serikali haramu kujaribu kutisha wapinzani wake.
Hoja yako ya kijinga wapelekee wajinga wenzio, uzuri ni kwamba jf yote inakufahamuKuna Watu wanaamini Pambalu ni mpinzani
Kwamba Mimi ni mjinga?Hoja yako ya kijinga wapelekee wajinga wenzio, uzuri ni kwamba jf yote inakufahamu
Mno!Kwamba Mimi ni mjinga?
Ulaaniwe wewe na vizazi vyako.well done vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania, kwa kazi kubwa na nzuri sana hususani ya kusambaratisha viongozi na magenge yao ya kihalifu hususani hayo magaidi.
As a nation,
we are proud of you are brilliant works at ensuring Tanzanians are safe all the time 💪
kwamba wewe ndio mtoa laana, right?Ulaaniwe wewe na vizazi vyako.
Huna akiliSafi sana mpumbavu huyo alikuwa anakaa Nairobi nakujifanya hatorudi tena hapa.bado Twaha mwaipaya,hilda Newton na Maria sarungi.mmojammoja watajitokeza wapumbavu hao
bwabwa lipigwa miti linafikiri 2030 litakoment tena, maana ikifika muda huo lazima liuwawe na mabasha yakewell done vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania, kwa kazi kubwa na nzuri sana hususani ya kusambaratisha viongozi na magenge yao ya kihalifu hususani hayo magaidi.
As a nation,
we are proud of you are brilliant works at ensuring Tanzanians are safe all the time 💪
bwabwa lipigwa miti kwenye makorido ya lumumbakwamba wewe ndio mtoa laana, right?
Mkuu 'Bagamoyo'; hii 'archive' yako unakoinua haya; na hasa unavyoyaweka kimpangilio husika inakutofautisha sana na wengi humu JF katika haya unayoyafanya.NYERERE - MIJITU INAYOOGOPA CHANGE NI MINYONYAJI, AKISIKIA MASIKINI WANA MKUTANO WANAOGOPA..
Julius Nyerere alisisitiza mabadiliko yaani reforms, anatoa hotuba kuhusu reforms hapa chini, na kusisitiza ni watawala tu ndiyo waoga wa reforms mabadiliko
View: https://m.youtube.com/watch?v=KxHK9VcjemY☝️
2025 May 26
It is the exploiters who fear change" Nyerere - Why are the people demanding NO REFORM NO ELECTION?
In this powerful speech, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere explains in detail how the colonial education system was designed to perpetuate exploitation, not to liberate Tanzanians. He explains that the poor have nothing to lose but hope for change, while the rich and exploiters fear any kind of reform that could bring change
Safi sana mpumbavu huyo alikuwa anakaa Nairobi nakujifanya hatorudi tena hapa.bado Twaha mwaipaya,hilda Newton na Maria sarungi.mmojammoja watajitokeza wapumbavu hao