Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Fury kastahili kushinda ilo halina mjadala ila kusema wilder si bondia mzuri nashindwa kukuelewa, it means wilder mapambano yote aliyoshinda kapendelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mchizi wako mweupe tu,anakutana na vibonde ndio maana,hana skills zaid ya fujo fujo,wahuni watakuja kumuua ulingoni siku moja ohoooo
 
Ila ile ngumi ya sikio sio poa kabisa.Sikio linauma ndugu zangu.Halafu changanya na kelele zile
Fid Q hakua mjinga alivoimba "akupigae ngumi ya sikio nawe mpige ya jicho akikuuliza unajiskiaje na wewe muulize unaonaje"😁😁😁
 
Kawaida ya wabongo wengi wenye muscles,huwa wanajiamini kupita kiasi kwa sababu ya kusifiwa na visichana vya mtandaoni,bila kujua kwenye uhalisia hadithi ni tofauti sana
Siku wilder akijichanganya kwa AJ atachezea vitasa "power without control brings damage" jamaa hana akili kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida ya wabongo wengi wenye muscles,huwa wanajiamini kupita kiasi kwa sababu ya kusifiwa na visichana vya mtandaoni,bila kujua kwenye uhalisia hadithi ni tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yule baunsa wa harmonize na mwarabu fighter wanajiona kama shoziniga vile kumbe hata kupanda mlima kilimanjaro hadi Kibo tu mtihani😂😂😂
 
Cooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.
Hapo ilikuwa ni Wimbley.
Rahman akaja kumtandika Lewis. Kichapo chake kilishtua ulimwengu wa masumbwi
Kwenye boxing ni skills tuu.
Hakuna cha muingereza wala mmarekani
Unakumbuka rematch ya Rahman vs Lewis, Rahman alipigwa mpaka akawa analia ulingoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakumbuka rematch ya Rahman vs Lewis, Rahman alipigwa mpaka akawa analia ulingoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna boxers huwa wanatokea kwa msimu.
Ndio kama hao. Wengine ni kama Buster Douglas, George Foreman(Japo mwamba alikuwa vzur kabla ya kichapo cha Ali).
Huwa wanasababisha upset then kwenye rematch/title defence wanapotea.
 
Mike tyson na prince naseem waliondoka na boxing, saiv ni use nge mtupu wanakimbia kmbia na kukumbatiana kwenye ring mwanzo mwsho ngumi hazionekani kuanzia heavy weght hadi lightweight kote ni use ~nge tu

地那天刚才妇产科☆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…