Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Aaah kumbe wilder kama arsenal tu

Saizi simbetii hata akipambana na steve nyerere

It's Scars
 
Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;


1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
11. Man Pacquiao (Boxer)---Wilder
12. Roman Reigns (Wrestler)---Fury
13. Lennox Lewis (Retired Boxer)---Wilder
14. Sugarray Leonard (Retired Boxer)---Wilder
15. Evander Holyfield (Retired Boxer)---Wilder
16. Larry Holmes (Retired Boxer)---Wilder
17. Mickey Garcia (Boxer)---Wilder
..........list itaendelea




NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.



... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him

Sent using Jamii Forums mobile app

Mahasimu hawampi ushindi mtu mmoja
 
Tyson Fury alishaahidi kunywa damu ya Wilder kabla ya pambano, akimaanisha lazima amharibu na ailambe damu ya jamaa.

Msikilize mtangazaji muda ule tukio linatokea alitangaza hii kitu.
I want to taste his blood.
Wilder alikuwa anauharibu mchezo wa boxing.
Yaan mwendo wake ni jab jab af kono lake la kulia.
He cant do even upper cut.
Hongerza zake sana Furry kwa kurudisha heshima ya Boxing
 
Cooper alipigwa na Muhammad Ali tena kwenye ardhi ya Uk.
Hapo ilikuwa ni Wimbley.
Rahman akaja kumtandika Lewis. Kichapo chake kilishtua ulimwengu wa masumbwi
Kwenye boxing ni skills tuu.
Hakuna cha muingereza wala mmarekani
Hao ni mashabiki wa boxing kwa misimu... Hutokea Floyd akipigana au AJ akipigana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wakirudiana Wilder atafia Uwanjani.


Wilder sio Bondia mzuri hata kidogo .... Na tumekuwa tukisema humu akikutana na Ring Dancer mzuri lazima akae. Naona Leo umeona kilichomkuta.




Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa hujui mchezo wa boxing wewe.
Ebu angalia BoxRec ya Deontay Wilder.
Pili boxing ni kama mchezo wowote mwingine - kushinda, kushindwa, au draw.
Kurudiana (rematch) ni issue nyingine; mfano, angalia Lennox Lewis alichomfanyia Hasim Rahman baada ya kufanya rematch.
Angalia mpambano wa rematch kati ya Evander Holifield na Riddick Bowe. Bowe kumtandika Evander ktk mechi ya kwanza, haikuwa guarantee kuwa atafanya hivyo tena ktk mechi ya marudiano. Bowe aliambulia kichapo cha nguvu.
Na Muhammad Ali vs Joe Frazier ktk rematch, Joe aliambulia kichapo japo mwanzo alishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom