lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
I know boxing than you .... Laiti ungefikiri walau Mara 4 nilichoandika usingepoteza muda kuandika ulichoandika... Hao wote uliowataja ni Boxers Bora Mara 100 ya Wilder ( Najua utabisha )....Utakuwa hujui mchezo wa boxing wewe.
Ebu angalia BoxRec ya Deontay Wilder.
Pili boxing ni kama mchezo wowote mwingine - kushinda, kushindwa, au draw.
Kurudiana (rematch) ni issue nyingine; mfano, angalia Lennox Lewis alichomfanyia Hasim Rahman baada ya kufanya rematch.
Angalia mpambano wa rematch kati ya Evander Holifield na Riddick Bowe. Bowe kumtandika Evander ktk mechi ya kwanza, haikuwa guarantee kuwa atafanya hivyo tena ktk mechi ya marudiano. Bowe aliambulia kichapo cha nguvu.
Na Muhammad Ali vs Joe Frazier ktk rematch, Joe aliambulia kichapo japo mwanzo alishinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia michango yangu humu kwenye Threads za Wlider vs Furry tangu Pambano la la mwaka Jana ..
Nilikuwa nasema Wilde ni Moja ya boxers wabovu mno zaidi ya ile Bomber Punch Yake Hana alternative yoyote ile kupigana na adui ... Alishindwa kumpiga Furry mwaka Jana , furry akiwa nje ya ulingo kwa miaka miwili baada ya kupotea kwenye madawa ya kulevya ... JAPO Lile Pambano naamini Wilder alipigwa ....
Kabla ya Pambano la Jana niliongea tena Wilder hataweza kumpiga Furry kwa kuzingatia namna anavyopigana hatuweza furry ... Leo umeona kilichotokea ... Wilder anaruhusu ngumi nyingi Hana good defensive skills ,
Sent using Jamii Forums mobile app