ighalamu
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 393
- 643
Mabondia wote 40 ni avarage boxer?Amekuwa akipgana na average boxers , Huyo akikutana na Joshua atafia Uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabondia wote 40 ni avarage boxer?Amekuwa akipgana na average boxers , Huyo akikutana na Joshua atafia Uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Really???Amekuwa akipgana na average boxers , Huyo akikutana na Joshua atafia Uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tyson Fury kanywa damu ya Wilder.
View attachment 1366825
Kwa jinsi tu hii Picha ilivyopigwa unaona Fury kuna jinsi anamwangalia Wilder kama Ragnar Lothbrok😎😎
Daah sio poa alichomfanyia Bro Wilder.
Ndio mwisho wake mikanda hawezi ipata tena.Die hard wilder fans tupo hapa mkuu
Furry new WBA champions, he deserve, leo alikua more energy, very sharp, mood
Mbabe leo kapigwa, fury bondia bora kabisa kwa kizazi cha sasa, nilimchukulia poa huyu mwamba
Ile mikanda kuwa mbali na wilder ni kitu ambacho kitamuuma sana, nature ya wilder ni always winning, natarajia rematch soon ili fury atudhihirishie kweli anastahili kuendelea kukaa na ile mikanda
Cha mwisho, wilder alijiamini sana dhidi ya fury, mpaka alishaandaa night after party baada ya pambano, kipigo cha leo kitamshtua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka kipindi kile ilikuwa Tyson Fury alikuwa anatoka kwenye uteja madawa ya kulevya na bado alikuwa Teja. Alikuwa na muda mrefu hajafanya mazoezi intensively lakini Wilder hakuweza kutumia advantage ile na kumtandika Fury.Pambano la mwanzo Fury alilamba sakafu mara mbili sijui tatu lakin bado alitoa droo,leo kushinda mnashangaa kweli?? Wilder sio bondia mzur mnasema ila jamaa ni mnyama haswa,ni muuaji kabsa sema leo kapatiwa tyming kakalishwa. Kupigwa kwake leo sio kigezo cha sio bondia mzuri mtakua mnajilisha upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ile imekaaje mkuu,sio uchawi ule na Fury alitakiwa apigwe TKO yeye kweli??
Anamaanisha bado anamtamani fala yule bishoo
Wilder pamoja na kupigwa bado kabebwa saaana asingefika round ya saba naona refa mweusi mwenzie kamlindalinda lakini bado kachezea kichapo. Alipambwa sana na mashabiki wa ngumi lakini hamna kitu yaani mbovu kama mwakinyo tuuu. Tyson wamempotezea muda tu kupigana na bondia mbovu hivi.
Die hard wilder fans tupo hapa mkuu
Furry new WBA champions, he deserve, leo alikua more energy, very sharp, mood
Mbabe leo kapigwa, fury bondia bora kabisa kwa kizazi cha sasa, nilimchukulia poa huyu mwamba
Ile mikanda kuwa mbali na wilder ni kitu ambacho kitamuuma sana, nature ya wilder ni always winning, natarajia rematch soon ili fury atudhihirishie kweli anastahili kuendelea kukaa na ile mikanda
Cha mwisho, wilder alijiamini sana dhidi ya fury, mpaka alishaandaa night after party baada ya pambano, kipigo cha leo kitamshtua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri atapambana na Whyte.Rematch ya nini? Ya nini kupotezeana muda huo, kituo kinachofuata ni AJ !! wilder saivi sio saizi yetu!! Akapambane na akina ortiz huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kama hawa waingereza wako tayr kuaibishana naweza kuona pambano la Wilder vs AJ kutokea kuliko Tyson vs AJNafikiri atapambana na Whyte.
Next is Furry vs AJ in Wembley
AJ atapigwa kipigo Cha mbwa Koko. Tunza hii comment yangu.Nafikiri atapambana na Whyte.
Next is Furry vs AJ in Wembley
Kadondoshwa Mara 4 sio 2 mkuuWilder kadondoshwa mara 2.
Ana bahati sana team yake imetupa taulo ulingoni.
Ur next AJ