Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Die hard wilder fans tupo hapa mkuu

Furry new WBA champions, he deserve, leo alikua more energy, very sharp, mood

Nachoweza kusema cha mwisho, mbabe leo kapigwa, fury bondia bora kabisa kwa kizazi cha sasa, nilimchukulia poa huyu mwamba

Ile mikanda kuwa mbali na wilder ni kitu ambacho kitamuuma sana, nature ya wilder ni always winning, natarajia rematch soon ili fury atudhihirishie kweli anastahili kuendelea kukaa na ile mikanda


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha poleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zFF6PDHCRduNdqj60eVf_PA-50692418.jpg
zFF6PDHCRduNdqj60eVf_PA-50692418.jpg
 
Msitupotezee muda, yaani mmetoa draw ya kimagumashi, leo mmekula za ukweli.

Game ya tatu hatuna muda, tunatazama kumbonda AJ.
Mkuu ungejua hapa kuna Mtu namtafuta....😛😛😛😛😛 hata usiwe na shaka.Jumapili moja ya Kibabe sana.Nimerudi home baada ya ibada nimecheka saaaaana.Fury Bwana haoni Jpl kuna jirani zetu wamekosa raha.
 
Mkuu ungejua hapa kuna Mtu namtafuta....😛😛😛😛😛 hata usiwe na shaka.Jumapili moja ya Kibabe sana.Nimerudi home baada ya ibada nimecheka saaaaana.Fury Bwana haoni Jpl kuna jirani zetu wamekosa raha.

Nimekusoma sana mkuu...!

Maana kuna swaga za kicheko kwenye ile post nimezielewa.
 
Kama wakirudiana Wilder atafia Uwanjani.


Wilder sio Bondia mzuri hata kidogo .... Na tumekuwa tukisema humu akikutana na Ring Dancer mzuri lazima akae. Naona Leo umeona kilichomkuta.




Sent using Jamii Forums mobile app
Fury kastahili kushinda ilo halina mjadala ila kusema wilder si bondia mzuri nashindwa kukuelewa, it means wilder mapambano yote aliyoshinda kapendelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambano la mwanzo Fury alilamba sakafu mara mbili sijui tatu lakin bado alitoa droo,leo kushinda mnashangaa kweli?? Wilder sio bondia mzur mnasema ila jamaa ni mnyama haswa,ni muuaji kabsa sema leo kapatiwa tyming kakalishwa. Kupigwa kwake leo sio kigezo cha sio bondia mzuri mtakua mnajilisha upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea round ya kwanza Wilder hakua mchezon tunaweza sema,

Tyson alijiweka mbal sana na ile right hand Jab ya Wilder huku akimpga ngumi za kumchosha Wilder

Kuanguka mara nne sio bahat mbaya techinique aliyoingia nayo Tyson ilikua nzur sana, Wilder alijiamn kwamba ataotea Right hand Punch amalize pambano huku akizid kuishiwa pumzi

Kuumia sikio sidhan ilikua sababu kocha alishaona leo Bondia wake hayuko sawa bora kumuepusha na kipigo cha mbwa koko kwa maana kadri muda ulivyozd kwenda ndivyo alikua anazid kuchakaa Wilder

All in all Furry kapigana pambano vzur sana na leo hakuleta sana zile mbwembwe zake za kukwepa ngumi kwenye kamba alifanya homework yake vzur...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom