Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Kocha wa wilder ameomba poo, aliona kabisa wilder anaweza kufia ulingoni.

Fury ni hatari mazee.
 
1582436683234.png

Kwa jinsi tu hii Picha ilivyopigwa unaona Fury kuna jinsi anamwangalia Wilder kama Ragnar Lothbrok😎😎

Daah sio poa alichomfanyia Bro Wilder.
 
Back
Top Bottom