mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli ilimkera saana Tyson, akaamua kumlaani Wilder.Eti juzi anasema angeweza kumpiga Mike Tyson kama wangekutana kila mmoja akiwa bora.
Eti juzi anasema angeweza kumpiga Mike Tyson kama wangekutana kila mmoja akiwa bora.
Die hard wilder fans tupo hapa mkuuHahahaha wale mashabiki wa Wilder mbona hatuwaoni au mnasubiri Counter atack za Mourinho...
Ninachokiona Ni Wilder anavuta round ziishe asipoteze kwa KO
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah Wilder kaniangusha sana
Kama wakirudiana Wilder atafia Uwanjani.Die hard wilder fans tupo hapa mkuu
Furry new WBA champions, he deserve, leo alikua more energy, very sharp, mood
Ile mikanda kuwa mbali na wilder ni kitu ambacho kitamuuma sana, natarajia rematch soon
Nachoweza kusema cha mwisho, mbabe leo kapigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilder mweupe sana.
Bado AJ kuchezea kichapo.
Furry ni best fighter of his era
No No kwa nini Deontay amepigwa hivyo.Hapana ni lazima tuombe pambano la tatu...Tutamla Fury mzima mzima.😎