Kama msebia kashinda tabu yanini apa ? Mtangazeni yeye ndo bingwa nadhani kelele zitaishaUzalendo wa kipumbavu hatuutaki.
Tutaonekana wajinga mbele ya jamii ya kimataifa.
TUNASEMA CHEKA KAPIGWA NA JANA KABEBWA. MSERBIA KASHINDA BILA CHENGA ILA USHINDI WAKE UMEPORWA NA MAJAJI WASIOJUA NDONDI BALI UPUUZI WA KUBEBANA.
CHEKA KAPIGWA FRESH KABISA, tusiaminishane ujinga. Kala za kutosha jana.
Mserbia oyeeeeeeeeeeeee!
Ni kweli mkuu il mzungu mi alinihudhi sana kwa staili yake ya kudefend mda wote......Mzungu alikuwa anapiga ngumi kwa akili sana na alikuwa anapiga kwenye point tu.....cheka ndiyo alikuwa hajiamini muoga anakimbia ngumi zake hazifiki kwa mpinzani hata ikifika inaishia kwenye gadi na haina nguvu.....unazi haufai cheka kapigwa round zote.
Hahahahahaaa wewe jamaa una vituko sanaKama wakina jecha wameingia mpaka kwenye ngumi basi mimi nitaacha kwenda kuangalia ngumi
Ni kweli mkuu il mzungu mi alinihudhi sana kwa staili yake ya kudefend mda wote......
Kweli,Mserbia aliharibu ladha ya mchezo kwa kujilinda zaidi.Mserbia aliyataka mwenyewe na kuzubaa kwake, we keshampeleka mtu chini tangu round ya KWANZA, af anamfuga hadi round ya mwisho 12, alichokipata atakuwa kajifunza
Hiyo avatar yako nayo ni jipu,,,kama jechaKilichotokea mungu anajua.... lakn mkanda umebaki nyumbani.... thts kool....