Pambano la Cheka Na Mserbia

Pambano la Cheka Na Mserbia

Ndo keshatangazwa hakuna namna kama cheka kabebwa sawa tu manake hata sisi mabondia wetu huwa wanakandamizwa wanapokwenda kucheza ulaya na asia kwa iyo ngoma droo...ndo game ya ngumi ilivyo..!
 
Hata ulaya ipo,, Maywethet anadundwa migumi ya uso na Pacq lakini anatangazwa Maywether.
 
Watanzania sijui tunajua nini sisi... Huyu jamaa anamdominate Cheka mpaka huwezi kusema Cheka anaweza kushinda hata kwa kubebwa..
Kawaulize simba walichofanywa na Yanga na pia ulizia matokeo ya jana ya yanga
 
Aisee, tangu mwanzo naona Cheka kapigwa lkn kapewa ushindi. Ni mchangiaji mmoja tu kasema unaweza peleka ngumi lkn kwenye majumuisho, ukapata marks tofauti.

Hivi rais wa WBF alikuja kufanya nini kama sio kusimamia mchezo uwe mzuri?

Hakuandaa waamuzi wazuri kusimamia pambano?

Alisemaje baada ya pambano?
 
Ukitaka ushindi halali pigo TKO tuu haya mengine ni sanaa,Manny Packyao alimvurumishiaaa yule M USA lakini unatangaziwa Froyd ndiyo mshindii.Hivo hivo kwa Cheka na Mserbia
 
hiiiiii ndiyo bongo babaa na mtaalam wa goli la mkono alikuwepo hapo ukumbini
 
Mi nilishangaa..Zen mtu anaambiwa ndani ya masaa kadhaa apunguze kilo mbili..Mi nikachoka kabisa...

Ebwana hili pambano linaonyeshwa wapi..Au upo eneo la tukio?
Mkuu kwa professional boxer kama cheka kupunguza kilo mbili kwa masaa ni kawaida.mambo ya Gymnasium hayo.
 
Mazoezi yake yenyewe eti kusukuma tairi la sijui trekra kwenda mlimani na kurudi, very local
mkuu acha ku underrate kwakuwa kapigwa.mazoezi ya taili kwa boxer ni kawaida.kazidiwa skills na Mzungu.pia Cheka wa zamani na huyu sio!
 
Mserbia ili ashinde hapa kwetu alipaswa apate KO.Kumbukeni pambano la MAN PAC vs MAYWETHER.nyumbani ni nyumbani.Hongera Cheka na waamuzi.
 
Jaman achen siasa hata TMT alivyopigana na Packyao wapo walosema TMT amepigwa wataalam wa masuala ya ngumi walipokuja kutoa uchambuz ndo kila m2 alikuja kukubalian na matokeo
Lazima tuwe wa kweli, hapo unazungumzia vitu tofauti. Jana ni wazi Cheka kapigwa na alidondoshwa Mara moja. Kilichompa Cheka ushindi ni kuwa majaji wote wanatoka Tanzania.
 
Yale yale ya Mayweather Vs ManPac.

Mjadala ulikuwa mkali, watu wakaja na sababu uchwara.

Mtu akaombwa re match kwenye neutral ground akagwaya.
 
yale yaleee ya MTAMBO MAN PAC na lile lishamba boy la marekan lenye logo ya TMT
 
Matokeo ya hii game na comment za wabongo utajua kweli nchi hii Ina wachawi wengi
 
Back
Top Bottom