Pambano la Cheka Na Mserbia

Pambano la Cheka Na Mserbia

hiyo sio mara ya kwanza

keshatangazwa pia alipopigwa na muiran hapa hapa TZ..
Daaaah kweli mchawi wetu tunae hapahapa nyumbani... Inawezekana hata hizi stats za GDP ya US $ 50b ni za kupika tu nazo
 
Yaani yule mzungu alikosea kusubiri point
alipaswa amalize kwa knock out
Alafu kwanza inawezekana ile round ya kwanza baada ya kudondoshwa dakika hazikuisha ila walimaliza tu ili wamsave na KO
 
Kwakwel sikubalian na ushind wa cheka mmmhhh hata kama ni kubebwa huku kumezid jaman daah
 
Baada ya pambano mzungu alikua anamfundisha cheka awe fasta na kupiga tumbon na mbavuni, aliamin kesha shinda dah maskin
 
Yaani nimekasilika mno, hatuwez fika popote
 
Sio mtaalamu sana wa kutoa judgement hasa upande wa masumbwi, lakini kwa common senses tu hua naweza angalau kutambua kipi kinaendelea na hatimae kuhisi mshindi kabla ya official judges kutoa matokeo!!!
Jana kwenye pambano la bondia Cheka dhidi ya Gerald tangu mwanzo wa pambano mpaka mwisho alitawala bondia huyu mzungu... watazamaji walijua hilo, watangazaji (Commentators) walijua hilo pia na kila mtu alijua cheka kashindwa kwenye lile pambano
Ajabu matokeo ya majaji yakampa cheka ushindi, Nauliz kwa wanaofahamu ni nini kilitokea?
 
Nimesikitishwa sana na nilicho kishuhudia leo, siwezi amini kama ni kweli nilikuwa macho kutazama pambano hili lililosifiwa kuwa kunamtu atapelekwa hospital akiwa mahututi,nafikiri hakuna jipu kubwa kama hili ndugu waziri wa michezo ana takiwa kuanza nalo hatuwezi kufikisha michezo mbali kukiwa na watu wachache wanashusha value kiasi hiki, kina Rashid Matumla na ndugu zake walikuwa wanakwenda nje na kushinda mapambano yao huyu kaseba ana sema kuwa mara nyingi nje wanashinda ila wanapokwa ushindi hivyo,kilicho fanyika leo watanzania tumeonyesha uzalendo , tanzania yangu kama inataka uzalendo huu wa kushindwa na kutangazwa tumeshinda mhhh hatuwezi fika jambo hili ipo haja ya kuongelewa kwa upana wake na si hivi walivyo fanya
 
Ukistaajabu ya Jecha, utayaona ya ngumi za kulipwa. Hatuwajengi mabonsia wetu. Shame!!!!!
 
Sio mtaalamu sana wa kutoa judgement hasa upande wa masumbwi, lakini kwa common senses tu hua naweza angalau kutambua kipi kinaendelea na hatimae kuhisi mshindi kabla ya official judges kutoa matokeo!!!
Jana kwenye pambano la bondia Cheka dhidi ya Gerald tangu mwanzo wa pambano mpaka mwisho alitawala bondia huyu mzungu... watazamaji walijua hilo, watangazaji (Commentators) walijua hilo pia na kila mtu alijua cheka kashindwa kwenye lile pambano
Ajabu matokeo ya majaji yakampa cheka ushindi, Nauliz kwa wanaofahamu ni nini kilitokea?
Mimi mwenyewe nimechoka!! Hata kama mtu hujui ngumi ni wazi kabisa hili shindano cheka kapigwa toka round ya kwanza! Any way labda siku hizi ikipigwa sana ndio unapewa ushindi kwa kichapo ulichopigwa.
 
Baada ya pambano mzungu alikua anamfundisha cheka awe fasta na kupiga tumbon na mbavuni, aliamin kesha shinda dah maskin
Ni kweli kabisa mkuu... Huyu jamaa aliamua tu kutoa show mpaka mwisho ili watu wafurahie pambano.. Ila angetaka kumaliza kwa KO angefanya hivyo hata kabla ya round ya 3... Hata ile round ya kwanza alivyodondoshwa akawa anayumba dakika hazikuisha ila walimaliza ili tu akapumzike... This is too sad, kwa njia hii hatufiki kokote
 
Back
Top Bottom