Nimesikitishwa sana na nilicho kishuhudia leo, siwezi amini kama ni kweli nilikuwa macho kutazama pambano hili lililosifiwa kuwa kunamtu atapelekwa hospital akiwa mahututi,nafikiri hakuna jipu kubwa kama hili ndugu waziri wa michezo ana takiwa kuanza nalo hatuwezi kufikisha michezo mbali kukiwa na watu wachache wanashusha value kiasi hiki, kina Rashid Matumla na ndugu zake walikuwa wanakwenda nje na kushinda mapambano yao huyu kaseba ana sema kuwa mara nyingi nje wanashinda ila wanapokwa ushindi hivyo,kilicho fanyika leo watanzania tumeonyesha uzalendo , tanzania yangu kama inataka uzalendo huu wa kushindwa na kutangazwa tumeshinda mhhh hatuwezi fika jambo hili ipo haja ya kuongelewa kwa upana wake na si hivi walivyo fanya