Pambano la Cheka Na Mserbia

Pambano la Cheka Na Mserbia

Nimesikitishwa sana na nilicho kishuhudia leo, siwezi amini kama ni kweli nilikuwa macho kutazama pambano hili lililosifiwa kuwa kunamtu atapelekwa hospital akiwa mahututi,nafikiri hakuna jipu kubwa kama hili ndugu waziri wa michezo ana takiwa kuanza nalo hatuwezi kufikisha michezo mbali kukiwa na watu wachache wanashusha value kiasi hiki, kina Rashid Matumla na ndugu zake walikuwa wanakwenda nje na kushinda mapambano yao huyu kaseba ana sema kuwa mara nyingi nje wanashinda ila wanapokwa ushindi hivyo,kilicho fanyika leo watanzania tumeonyesha uzalendo , tanzania yangu kama inataka uzalendo huu wa kushindwa na kutangazwa tumeshinda mhhh hatuwezi fika jambo hili ipo haja ya kuongelewa kwa upana wake na si hivi walivyo fanya
Huu upuuzi haufai kuachiwa hivi hivi.. Viongozi wa ngumi ni wavuta bange hawa hawafai kuachwa... Boxers wetu wanaweza kukosa mapambano kwa ujinga kama huu
 
Watu wa ngumi watakuja na maelezo mengi kwenye hili jambo, ila jambo moja kubwa bado ukweli utabaki umesimama kuwa Cheka amepigwa na huyu jamaa na kilicho fanyika ni ubakaji mkubwa wa matokeo ya ngumi
Hatuwezi fika mbali kwa kuwapa mabondia wetu ushindi wa mezani tunafahamu karibuni huyu bwana atatakiwa kutetea taji lake na mimi naomba sana iwe nje ya tanzania, hii ni aibu kubwa kwa taifa hatuwezi fika popote na kama kuna mtu atasema uzalendo ndio ulifanya kutoa maamuzi na fikiri uzalendo huu unakwenda kuua michezo
 
Kilichotokea mungu anajua.... lakn mkanda umebaki nyumbani.... thts kool....
 
Attachments

  • 308D197700000578-0-image-a-8_1453716266766-630x339.jpg
    308D197700000578-0-image-a-8_1453716266766-630x339.jpg
    26.1 KB · Views: 202
yan cheka kapigwa km mtoto,,mi co mpnz sana wa boxer ila hilo pambano nimeliangalia lote na cheka kapigwa round zote 12 ila katangazwa mshindi

kweli Tz bado sanaa,,ht mpira tokeo lingekua linatangazwa mezani ingekua baraa!
 
hiyo sio mara ya kwanza

keshatangazwa pia alipopigwa na muiran hapa hapa TZ..
Lile la Muiran hadi mashabiki walioudhuria walitaka kuandamna...Francis Miyeyusho ndo alizingua zaidi..Yani vituko
 
Huu upuuzi haufai kuachiwa hivi hivi.. Viongozi wa ngumi ni wavuta bange hawa hawafai kuachwa... Boxers wetu wanaweza kukosa mapambano kwa ujinga kama huu
Acha waendelee kubebwa halafu wajione wanaweza..Siku wanaweza kukutana na wazee wa kazi ulingoni tukatangaza msiba
 
Siamini kilichotokea nilifuatilia mpambano huu wa leo mpaka kufikia round ya 9 baadhi ya watazamaji wakatoa mshindi na kuanza kumlaumu na kumponda bondia wetu..hata mtangazaji kunako dkk za mwisho alikua akihubiri maneno ya faraja kwa watanzania ikimaanisha hata wao jopo la utangazaji walishasoma mchezo na kujua tumepoteza,Kipenga cha mwisho mimi niliamua kuondoka lakini nikiwa njianirafiki yangu akanipigia kunipa matokeo kua bondia wetu kashinda nilishangaa na kujihisi aibu...sijui wazungu watatuchukuliaje kwa hili..
 
Te te te waamzi walikuwa wa wapi...mcheza kwao hiyo
 
Watu wa ngumi watakuja na maelezo mengi kwenye hili jambo, ila jambo moja kubwa bado ukweli utabaki umesimama kuwa Cheka amepigwa na huyu jamaa na kilicho fanyika ni ubakaji mkubwa wa matokeo ya ngumi
Hatuwezi fika mbali kwa kuwapa mabondia wetu ushindi wa mezani tunafahamu karibuni huyu bwana atatakiwa kutetea taji lake na mimi naomba sana iwe nje ya tanzania, hii ni aibu kubwa kwa taifa hatuwezi fika popote na kama kuna mtu atasema uzalendo ndio ulifanya kutoa maamuzi na fikiri uzalendo huu unakwenda kuua michezo
Kama mheshimawa Jecha hakuwa Jaji basi watakuwa wametoka chama fulani.
 
Ngoja wampe tu ingawaje sijaangalia pambano lakini hata wao kwao wanafanya hivyo kuwapa wanapokuwa wanacheza na wageni mi sishangai kwa ilo.
 
Mcheza kwao bwana wee khaa,km cyo waswahili mnasahau mapemaa,tunaupigaga mpira hapo taifa tunampa mtu 2 n.k sasa tutoke hapo 7,acha tufurahi kwetu bwana weee
 
Jaman achen siasa hata TMT alivyopigana na Packyao wapo walosema TMT amepigwa wataalam wa masuala ya ngumi walipokuja kutoa uchambuz ndo kila m2 alikuja kukubalian na matokeo
 
Jaman achen siasa hata TMT alivyopigana na Packyao wapo walosema TMT amepigwa wataalam wa masuala ya ngumi walipokuja kutoa uchambuz ndo kila m2 alikuja kukubalian na matokeo
Afadhali wewe umelikumbushia hilo. Watu wanasahau haraka
 
Back
Top Bottom