Pambano la Cheka Na Mserbia

Pambano la Cheka Na Mserbia

Uzalendo wa kipumbavu hatuutaki.
Tutaonekana wajinga mbele ya jamii ya kimataifa.
TUNASEMA CHEKA KAPIGWA NA JANA KABEBWA. MSERBIA KASHINDA BILA CHENGA ILA USHINDI WAKE UMEPORWA NA MAJAJI WASIOJUA NDONDI BALI UPUUZI WA KUBEBANA.
CHEKA KAPIGWA FRESH KABISA, tusiaminishane ujinga. Kala za kutosha jana.
Mserbia oyeeeeeeeeeeeee!
Kama msebia kashinda tabu yanini apa ? Mtangazeni yeye ndo bingwa nadhani kelele zitaisha
 
Ukweli unauma cheka kapigwa ilakapewa ushindi wamezani namajaji halafu tunashangilia ujinga eti tanzania imeshinda huuniujinga mserbia ameshinda nadunia inajua hivyo ilakanyimwa haki yake ndomaana tutabaki kuwavichwa vyawendawazimu. Laundi yakwanza kapelekwa chini ,haitoshi hadi laundi ya mwisho alikuwa hajielewi huyo mshindi wenu hata mtangazaji ailisema hivyo ajabu eti kashinda mnamaanisha wazamaji tulikuwa hatuoni kilichokuwakinatokea uwanjani? Amanivigezo gani vilitumika kumpa ushindi huyo mtu wenu?ninyi nimajipu yanayochangia kuharibu michezo hapa tz nakama selikaki itaungana nanyi kumpongeza huyo tutajua nayo haileweki kupongeza ujinga naamini hata wao waliona yaliyokuwayajili uwanjani tanzania tuachekuaminishana ujinga
 
Kama wakina jecha wameingia mpaka kwenye ngumi basi mimi nitaacha kwenda kuangalia ngumi
 
Sidhani kama pambano kubwa kama hili majaji
wote watakuwa watz.... lazima majaji watakuwa wametoka nje.... kumbuka na raisi wa ndondi duniani alikuwepo....nilimuona wakati anaongea na anape....
 
Tatizo la mchezo huu......hutakiwi kutegea kabisa , lazima tuwe wakweli cheka amepigwa na wote tulio kua pale tuliona ndo maana raund ya 8 me nikasepa maana bondia wetu alikua anaadhibiwa tu.
 
huu mchezo siku hz anaetiwa konde nyingi ndo mshindi.sio bongo hata ng'ambo pia.rejea mapambano ya yule jamaa mwenye logo ya TMT alipopambana na hawa wakali MAIDANA na MAN PAC
 
  • Thanks
Reactions: kdc
hivi kwa nini waamuzi wa mapambano ya kimataifa wasiwe wanatoka nchi nyingine kama ilivyo kwenye soka?
 
Kumbe nyie hamjui ngumi aise.
Hizi ndio sababu why Cheka alishinda bila chenga.
1.Cheka ni CCM damu.
2.Cheka alishaingia jela tena kwa kuonewa kabisa na Bar med.
Ni hivyo tu basi.
 
Mzungu alikuwa anapiga ngumi kwa akili sana na alikuwa anapiga kwenye point tu.....cheka ndiyo alikuwa hajiamini muoga anakimbia ngumi zake hazifiki kwa mpinzani hata ikifika inaishia kwenye gadi na haina nguvu.....unazi haufai cheka kapigwa round zote.
Ni kweli mkuu il mzungu mi alinihudhi sana kwa staili yake ya kudefend mda wote......
 
Mserbia aliyataka mwenyewe na kuzubaa kwake, we keshampeleka mtu chini tangu round ya KWANZA, af anamfuga hadi round ya mwisho 12, alichokipata atakuwa kajifunza
 
Kwani wakuu aliyekufa mgeni rasmi ni nani? Na hamjawahi kusikia kuhusu goli la mkono?
 
Ni kweli mkuu il mzungu mi alinihudhi sana kwa staili yake ya kudefend mda wote......
Mserbia aliyataka mwenyewe na kuzubaa kwake, we keshampeleka mtu chini tangu round ya KWANZA, af anamfuga hadi round ya mwisho 12, alichokipata atakuwa kajifunza
Kweli,Mserbia aliharibu ladha ya mchezo kwa kujilinda zaidi.
Nadhani hii ndio sababu kuu iliyomnyima ushindi.
 
Nan amelipia Muda wa kuonesha pambano la kwanza adi la mwisho pale TBC
 
Binafc nilikuwepo kwenye lile pambano kimtazamo cheka alizidiwa sana lakin tukirud kitaalam cheka amepiga punch nyingi saana na yule msebria alikua kazi yake ni kujilinda na akitafuta KO ambacho ni kitu kibaya sana kwa bondia kama cheka ambaye anapumzi na sugu tulijua hili pambano lingekwisha kipindi cha kwanza tu lakin usugu wa cheka na kujiandaa kucheza 12 round ndio kumesababisha kichukua mkanda pia cheka amepiga one two nyingi sana pamoja na jeb za mkono wa kushoto japo zilionekana hazina madhara kwa msebria kunawakat aliacha uso waz na jeb za cheka ziliweza kupenya japo ki uhalisia zilionekana hazina madhara lakin ni point tatu muhim ushindi ambao hua hauna lawama ni KO peke yake tujifunze hata mabondia wetu wanapo toka nje mambo kama haya hua yapo kabisa mfano ni huyo huyo cheka mwenyewe nimesahau ni nchi gani watu huwa wanawambia chukua kama dola 2000 uachie pambano cheka kakataa baada ya kuona pambano limekua gumu yule second wa cheka ambae ni mkenya yy alikua kachukua pesa akaruha taulo kwamba bondia wangu hawezi kuendelea na pambano cheka anashangaa vp tena lakin ndio hivyo tauro imerushwa round ya 6 cheka kashindwa kujieleza kwa sababu na kiingrish hakipandi mkenya kamuuza hayo ni baadhi tu ya machache wanayo yapata mabondia wetu mwisho kwa kosmas cheka kashinda huko thailand tena kwa KO lakin wale waandaaji wakagoma kutoa mkanda wakasema tutakutumia hayo ndio madhila wanayo yapata manondia wetu wakiwa nje mwisho ni lazima tunyesha uzalendo tena kwa mkanda mkubwa kama huo inakuaje mtu achukue mkanda kwa point hiyo haiwezekan kabisa asante cheka lazima tukuunge mkono
 
Nimependa kitu kimoja tu, kumbe na sisi ( watz) tunaweza kubebana maana si kwa kipigo kile halafu unaambiwa Cheka kashinda nilijionea aibu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom