Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Letss gooKidunda ana score hapa
Hadi sasa nani zaidi?Raundi 8 pambano kali sana.
50-50Hadi sasa nani zaidi?
Hii sio kazi aiseeKidunda uso imekuwa kama kalipukiwa na bomu la izrael
Dogo ni hatariHuyu mjukuu wa Mandela ana hatari
Kidunda asiposhinda KO basi atakuwa kapigwa
KashapigwaHuyu mjukuu wa Mandela ana hatari
Kidunda asiposhinda KO basi atakuwa kapigwa