Pambano la Kidunda na Asemale Majaji wa Tanzania msituharibie pambano

Pambano la Kidunda na Asemale Majaji wa Tanzania msituharibie pambano

Nilitabiri watamaliza bado sekunde 20. Kuna pambano la Kidunda na Katompa walifanya hivyohivyo
Aliyekaa kwenye kengele ni kama yule kwenye Ip Man 2, [emoji23][emoji23]
Akiona Kidunda anashambulia anakausha, akishambuliwa anapiga kengele kabla, tena Jana kapiga mara mbili
 
Twaha akitrain vizuri anaweza kutoa ushindani, pambano lililopita ilionekana wazi hakuwa na maandalizi, alimchukulia poa dogo na ikamgharimu ila naamini wakirematch Twaha atajifua ipaswavyo na shughuli itakuwepo. Hao wengine woote hakuna anayeweza kubattle na huyo dogo.
Labda aongee vizuri na marefa Ila kiuwezo bado sana
 
Back
Top Bottom