Pambano la Kidunda na Asemale Majaji wa Tanzania msituharibie pambano

Boxing inauliwa na hawa majaji, kila mtu kaona ķilichotokea so maamuzi kama haya ya kipumbavu yanaharibu mchezo na kupoteza mashabiki. UPUMBAVU MTUPU
 
Eti droo, migumi yote kiduda aliyopigwa hadi uso imekuwa kama tractor
Refa ameharibu pambano, Jamaa amecheza faul nyingi Sana lakini hakutoa amri ya kukatwa point.
Kidunda ameteleza bila kupigwa Ngumi lakini akawa ana mhesabia.
Kwa ujumla Kidunda amecheza vizuri ila faul za mpinzani zilikua Zina nyonya nguvu za kidunda.
 
Kwa msiojua keaho kutakuwa na pambano la ngumi Kati ya Seleman kidunda na Asemalle Wellem wa South Africa,Huyu Asemalle ndio alitoka kumchapa juzi hapo Twaha kiduku ni moja ya mabondia wazuri sana

Nachoomba majaji wa Tanzania mpunguze mbeleko kubeba beba watu hivyo hata wakupigwa, Tunataka pambano la haki
Haya nilishayaona na yametokea
 
Boxing inauliwa na hawa majaji, kila mtu kaona ķilichotokea so maamuzi kama haya ya kipumbavu yanaharibu mchezo na kupoteza mashabiki. UPUMBAVU MTUPU
Upumbavu unaanzia kwa hawa watangazaji wa Azam wako biased sana, kidunda akipigwa ngumi hawaongei lakini yeye sasa akirusha ngumi Moja makelele kibaooo, huyu dogo kampiga kidunda kinoma
 
Yule mwili tu hakuna kitu
Twaha akitrain vizuri anaweza kutoa ushindani, pambano lililopita ilionekana wazi hakuwa na maandalizi, alimchukulia poa dogo na ikamgharimu ila naamini wakirematch Twaha atajifua ipaswavyo na shughuli itakuwepo. Hao wengine woote hakuna anayeweza kubattle na huyo dogo.
 
Refa ameharibu pambano, Jamaa amecheza faul nyingi Sana lakini hakutoa amri ya kukatwa point.
Kidunda ameteleza bila kupigwa Ngumi lakini akawa ana mhesabia.
Kwa ujumla Kidunda amecheza vizuri ila faul za mpinzani zilikua Zina nyonya nguvu za kidunda.
Acha ujinga wewe.. kapigwa left hook mwishoni wakaona bora wamalize bado sekunde 20.

Kidunda kapigwa kama ngoma dadeki..
 
Refa ameharibu pambano, Jamaa amecheza faul nyingi Sana lakini hakutoa amri ya kukatwa point.
Kidunda ameteleza bila kupigwa Ngumi lakini akawa ana mhesabia.
Kwa ujumla Kidunda amecheza vizuri ila faul za mpinzani zilikua Zina nyonya nguvu za kidunda.
Huyo babu yenu kadundwa full stop hakuna draw pale mibondia ya tz ni mbeleko tu ndio maana ikifika nnje kazi kudundwa
 
Back
Top Bottom