avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hakuna faulo yoyote aliyocheza zile mbinu za kawaida sana za mchezo. Au ulikuwa unawasikiliza hao wachambuzi fake? Huyu ni refa sliyejitshidi Sana. Ingekuwa wale wengine wasingehesabu hata knock down ya mwishoRefa ameharibu pambano, Jamaa amecheza faul nyingi Sana lakini hakutoa amri ya kukatwa point.
Kidunda ameteleza bila kupigwa Ngumi lakini akawa ana mhesabia.
Kwa ujumla Kidunda amecheza vizuri ila faul za mpinzani zilikua Zina nyonya nguvu za kidunda.