themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
- Thread starter
- #61
[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no twaha kiduku mkuuSure si unaona kajamaa kadogo.
Dula mbabe nusura afe kwa huyo jamaa
Huyu dogo ni nuksiMpaka sasa Kidunda 10, Asimahle 90
Yahno twaha kiduku mkuu
😂😂😂Mwakinyo si anataka mabondia wa kimataifa? Basi huyu anamfaa kama uzito unaruhusu...muone mtoto wa kitanga atavyokimbia
Mwakinyo hawezi kukubali, huwa anachagua mabkndia wa kupigana nao.Naona pambano lijalo ni mwakinyo na huyo dogo
Kazidiwa sana pia katoka manundu...Ajabu Kidunda ndio Mshindi [emoji28][emoji28]
Watambeba tu..Kazidiwa sana pia katoka manundu...
Kidunda kashachapwaMpiga kengele kasahau
Watagonga kengele bado sekunde 20 nakwambia na Kidunda ndio Mshindi [emoji1787][emoji1787]Kidunda ajikaze tu asipoteze kwa KO maana mpaka sasa hakuna maajabu atayoweza kufanya kupata ushindi.