Pambano la Kidunda na Asemale Majaji wa Tanzania msituharibie pambano

[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwakinyo si anataka mabondia wa kimataifa? Basi huyu anamfaa kama uzito unaruhusu...muone mtoto wa kitanga atavyokimbia
 
Kajamaa kadogo ila kanakiwashaa balaaaa...

Nashauri kidunda apambane kama MKALI WAO VS YUSUF MLELA πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚

Hii fight ya MKALI WAO na YUSUF MLELA πŸ˜ŠπŸ€“ NIMECHEKA SANAAAA

MLELA ALICHEZEA NGUMI ZA MTAANI 😊😊
 
Kidunda ajikaze tu asipoteze kwa KO maana mpaka sasa hakuna maajabu atayoweza kufanya kupata ushindi.
 
Kidunda ajikaze tu asipoteze kwa KO maana mpaka sasa hakuna maajabu atayoweza kufanya kupata ushindi.
Watagonga kengele bado sekunde 20 nakwambia na Kidunda ndio Mshindi [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…