Pambano la mayweather s pacman litaonyeshwa Chanel gani!!?

Hata kombat watairusha Tena live
 
Hahahahaha,mbafu sangu,Masai dada njoo huku
 
Hata kombat watairusha Tena live
Aisee kama hapo basi hata sie wa AZAM Decoder tutainasa.
Pia msisahau kuangalia TV za Kenya na baadhi ya TV za Uganda.
Maana kuna baddhi ya chennel za Uganda huwa mapambano makubwa wanarusha live.
Leo remote zitakoma,maana kuanzia saa sita nikubonyezwa tu hadi ziseme
 
DSTV for Africa.USA PPVT.only na ni kuanzia saa 10 usiku Leo.
 

hahahahaha tunafanana kama wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…