Pambano la mayweather s pacman litaonyeshwa Chanel gani!!?

Pambano la mayweather s pacman litaonyeshwa Chanel gani!!?

Hivi hawa TBC ni watu wa kuamini hata siku moja kwenye events!! bado dk kumi unatangaziwa Tunajiunga na mtangazaji wetu Greisony msigwa toka songea, ambako MZEE WA KUTEMBEA NA MIKASI MIFUKONI, anazidua ghala la nafaka!! utafanya nini, kutegemea tbc, jua ni sawa na kumdhamini mmsai mahakamani/au polisi any tyme utabaki na shuka,. hapo sijaweka mala No signal, mala no service!!!
Hahahahaha,mbafu sangu,Masai dada njoo huku
 
Hata kombat watairusha Tena live
Aisee kama hapo basi hata sie wa AZAM Decoder tutainasa.
Pia msisahau kuangalia TV za Kenya na baadhi ya TV za Uganda.
Maana kuna baddhi ya chennel za Uganda huwa mapambano makubwa wanarusha live.
Leo remote zitakoma,maana kuanzia saa sita nikubonyezwa tu hadi ziseme
 
DSTV for Africa.USA PPVT.only na ni kuanzia saa 10 usiku Leo.
 
kweli nawapenda sana, ila hapo kwenye udhamini ndio shidaaa!! kwani wanavyofanana hata akiharibu kumpata ni inshu!! tena unaweza kuwa unapishana naye, na kumuuliza yelooo ile baba yoyo iko wapi siku hizi? atakwambia ipo monduli imefuata dawa!! kumbe ndio mbaya wako huyo, inakuwa kama ile KESI YA KANGA.

hahahahaha tunafanana kama wachina
 
Back
Top Bottom