Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kombat watairusha Tena live
Hahahahaha,mbafu sangu,Masai dada njoo hukuHivi hawa TBC ni watu wa kuamini hata siku moja kwenye events!! bado dk kumi unatangaziwa Tunajiunga na mtangazaji wetu Greisony msigwa toka songea, ambako MZEE WA KUTEMBEA NA MIKASI MIFUKONI, anazidua ghala la nafaka!! utafanya nini, kutegemea tbc, jua ni sawa na kumdhamini mmsai mahakamani/au polisi any tyme utabaki na shuka,. hapo sijaweka mala No signal, mala no service!!!
Mpambano umeisha,Pacq ameshindaTarehe 2 Ni Jumamosi Au Jumapili? Mbona Siwaelewi
Aisee kama hapo basi hata sie wa AZAM Decoder tutainasa.Hata kombat watairusha Tena live
tvz(zbc)wadau hili pambano sio la kuhadithiwa au kusubilia uangalie replay! Ni channel ipi itaonyesha!?
wadau hili pambano sio la kuhadithiwa au kusubilia uangalie replay! Ni channel ipi itaonyesha!?
kweli nawapenda sana, ila hapo kwenye udhamini ndio shidaaa!! kwani wanavyofanana hata akiharibu kumpata ni inshu!! tena unaweza kuwa unapishana naye, na kumuuliza yelooo ile baba yoyo iko wapi siku hizi? atakwambia ipo monduli imefuata dawa!! kumbe ndio mbaya wako huyo, inakuwa kama ile KESI YA KANGA.