Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing lasts longerDa Mshana Jr kw hyo unatuambia team pinzani itangusha mbuyu uliyojichimbia miziz iliyojaa nge,Nyoka,miziz ambayo ikitumika kuloga huua kwl,miziz iliyojaa jaa miiba ambayo ikikuchoma huua kabsa na ikameza ndg waskuzke, miziz iliyojaa giliba na fitina isiiomithirika! Yetu Macho juu ya dimba lileeee!!!
Matamko ya polisi kwamba awatoshiriki dhuluma Kama ni kweli watajawwa na roho Mtakatifu wakimaanisha walichokisema,ccm wakatafute kazi zingineSitegemei maajabu labda ya 100% CCM KUPORA haki za watanzania/matakwa ya watanzania. Mshana, tuliokulia kwenye enzi wa Idd Amin, tunajua hulka ya madikiteita! Ndiyo maana unaona bila aibu mtu anasema Rais, CJ na Speaker wavunje Katiba, sheria wasishitakiwe! Unategemea uchaguzi toka watu hao? Klichopo wacha watunge sheria zao, SIKU YA SIKU UNA-SISPEND KATIBA NA KUWASHITAKI CHINI YA MAHAKAMA MAALUMU!
Tuna chini ya siku 150 kuelekea uchaguzi mkuu.
Huu utakuwa uchaguzi mkuu tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote zilizopita
Hakuna amsha amsha hakuna shamra shamra
Hakuna kimbiza kimbiza... Kumetulia sana na kwa sehemu kuna wasiwasi, woga na sononi kwa wananchi... Lakini pia wana tashwishwi ya kutaka kuona maajabu yakitendeka.
Muda uliobaki ni mchache sana lakini ni muhimu sana kwa kila dakika inayo tiktok.. Kuna mambo yanaendelea kimyakimya... Chinichini lakini kwa haraka na wepesi wa ajabu
The race against time...! Kama kutakuwa na huo uchaguzi (achana na neno HURU na HAKI) Tanganyika inaweza kuishangaza dunia.. Kila zama huwa na kurasa zake... Na unapofika wakati wa kufunua ukurasa husika huna budi.. huna jinsi.. Huna namna.. Huna hiari... Inabidi kuufunua...!!!
Kila jambo huwa na kikomo cha kuwa... Kikomo cha zama.. Kikomo cha nyakati... MWANADAMU ni mtumwa wa muda... Achana na maneno HURU na HAKI kuna watu walivikwa ukuu wakiwa hawapo... Kuna watu walikabidhiwa majukumu makubwa wakiwa mbali uhamishoni..
Kuna baadhi ya imani ukitaka kuoa mke si lazima uwepo eneo la tukio... Ndugu yako anaweza kukuolea kwa maneno halafu vitendo ukaja kufanya mwenyewe
Hili ni pambazuko la kipenga cha mwisho.. Kila alfajiri ipitayo haitarudi tena... Nje upepo unavuma lakini unavuma na mengi... Ni alfajiri nyingine tena...
Natambua wazi jana ulilala fofofo baada ya uchovu wa kazi na mihangaiko ya siku nzima... Juma zima... Lakini wapo ambao hawalali... Hawakulala na hawatalala mpaka kipenga cha mwisho kitakapodhihiri mwangwi wake na kupotelea kwenye kadamnasi ya hadhira yenye tashwishwi kubwa ya mabadiliko
Ni alfajiri nyingine tena.. Wanaume hawajalala ni mwendo wa kuandaa mazingira ili timu pinzani isiliguse dimba.. Kisha tutangaziane ushindi mnono wa kishindo!!
Kwenye kila andishi kuna TAMATI... Kama tamati ya andiko lako imetimia funika buku lako ulirudishe kabatini kwakuwa hakuna kurasa zaidi... Huhitaji kufanya marudio ya kurasa
Kuna kitabu kipya na wasomaji wapya.. Wape nafasi kwa upendo na bila ghiliba wasome kwa utulivu na amani kurasa zao... Nao kuna siku watafikia TAMATI... Usilazimishe makhaba kama hisia zumeshakufa
Kumbuka ni wafu pekee ndio wasiokula wala kunywa... Chumvi ikiisha ladha haifai tena kwakuwa hakuna cha kuipa ladha tena..
Ni alfajiri ya kipenga cha mwisho. Pambazuko lenye tumaini jipya. Achana na maneno HURU NA HAKI.. Uchaguzi utafanyika.. Maajabu yatatokea na dunia itashangaa
Jr[emoji769]
Achana na huyo mkuu,Vita ya majimaji imeanzaVipo vingi vya kuliwa... Kipi kimojawapo unamaanisha[emoji848]
Jr[emoji769]
Eeh.. Seriously...? Siamini ujue...Achana na huyo mkuu,Vita ya majimaji imeanzaView attachment 1469266
Ndio mambo yanavyokwenda mkuu,ukiona wapenzi wanaojisifia sana mtaani kuwa wanapendana jua hawawezi kudumu,wamekaa Kisanii na wanaliana timing tuEeh.. Seriously...? Siamini ujue...
Jr[emoji769]
Labda cha ajabu wapo wabunge wa CCM watakatwa katika utaratibu mpya wa watia nia.Tuna chini ya siku 150 kuelekea uchaguzi mkuu.
Huu utakuwa uchaguzi mkuu tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote zilizopita
Hakuna amsha amsha hakuna shamra shamra
Hakuna kimbiza kimbiza... Kumetulia sana na kwa sehemu kuna wasiwasi, woga na sononi kwa wananchi... Lakini pia wana tashwishwi ya kutaka kuona maajabu yakitendeka.
Muda uliobaki ni mchache sana lakini ni muhimu sana kwa kila dakika inayo tiktok.. Kuna mambo yanaendelea kimyakimya... Chinichini lakini kwa haraka na wepesi wa ajabu
The race against time...! Kama kutakuwa na huo uchaguzi (achana na neno HURU na HAKI) Tanganyika inaweza kuishangaza dunia.. Kila zama huwa na kurasa zake... Na unapofika wakati wa kufunua ukurasa husika huna budi.. huna jinsi.. Huna namna.. Huna hiari... Inabidi kuufunua...!!!
Kila jambo huwa na kikomo cha kuwa... Kikomo cha zama.. Kikomo cha nyakati... MWANADAMU ni mtumwa wa muda... Achana na maneno HURU na HAKI kuna watu walivikwa ukuu wakiwa hawapo... Kuna watu walikabidhiwa majukumu makubwa wakiwa mbali uhamishoni..
Kuna baadhi ya imani ukitaka kuoa mke si lazima uwepo eneo la tukio... Ndugu yako anaweza kukuolea kwa maneno halafu vitendo ukaja kufanya mwenyewe
Hili ni pambazuko la kipenga cha mwisho.. Kila alfajiri ipitayo haitarudi tena... Nje upepo unavuma lakini unavuma na mengi... Ni alfajiri nyingine tena...
Natambua wazi jana ulilala fofofo baada ya uchovu wa kazi na mihangaiko ya siku nzima... Juma zima... Lakini wapo ambao hawalali... Hawakulala na hawatalala mpaka kipenga cha mwisho kitakapodhihiri mwangwi wake na kupotelea kwenye kadamnasi ya hadhira yenye tashwishwi kubwa ya mabadiliko
Ni alfajiri nyingine tena.. Wanaume hawajalala ni mwendo wa kuandaa mazingira ili timu pinzani isiliguse dimba.. Kisha tutangaziane ushindi mnono wa kishindo!!
Kwenye kila andishi kuna TAMATI... Kama tamati ya andiko lako imetimia funika buku lako ulirudishe kabatini kwakuwa hakuna kurasa zaidi... Huhitaji kufanya marudio ya kurasa
Kuna kitabu kipya na wasomaji wapya.. Wape nafasi kwa upendo na bila ghiliba wasome kwa utulivu na amani kurasa zao... Nao kuna siku watafikia TAMATI... Usilazimishe makhaba kama hisia zumeshakufa
Kumbuka ni wafu pekee ndio wasiokula wala kunywa... Chumvi ikiisha ladha haifai tena kwakuwa hakuna cha kuipa ladha tena..
Ni alfajiri ya kipenga cha mwisho. Pambazuko lenye tumaini jipya. Achana na maneno HURU NA HAKI.. Uchaguzi utafanyika.. Maajabu yatatokea na dunia itashangaa
Jr[emoji769]
Kwahiyo leo hii musiba naye analia kufanyiwa rough.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]Ndio mambo yanavyokwenda mkuu,ukiona wapenzi wanaojisifia sana mtaani kuwa wanapendana jua hawawezi kudumu,wamekaa Kisanii na wanaliana timing tu
Raisi Magufuli atatangazwa mshindi kabla ya kumaliza kuhesabu kura. [emoji44][emoji44][emoji44][emoji119][emoji119][emoji119]Labda cha ajabu wapo wabunge wa CCM watakatwa katika utaratibu mpya wa watia nia.
Tutegemee wabunge wapya bungeni kwa tiketi ya CCM.
Vyama vya CUF,NCCR,TLP vitamsimamisha mgombea uraisi wa CCM Raisi Magufuli ni katika mikakati ya kuunga juhudi za Magu.
Kama Chadema itamsimamisha Tindu Lissu atawekewa pingamizi na CCM kama alivyowekewa pingamisi Professor Mohammed Babu wa NCCR Mageuzi mwaka 1995.Watafute mgombea mwingine vinginevyo wataambuliwa patupu.
Yawezekana ACT mageuzi ya Zitto itafanya makubaliano na CCM kupewa au kuachiwa majimbo.Adui wa CCM siyo ACT bali Chadema.
Raisi Magufuli atatangazwa mshindi kabla ya kumaliza kuhesabu kura.
Tena na kichapo juuKwahiyo leo hii musiba naye analia kufanyiwa rough.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]
Jr[emoji769]
Unafikiri kizazi cha 1995 ndo kizazi cha 2020?? Unafikiri dunia ya 1995 ndo ya 2020??Labda cha ajabu wapo wabunge wa CCM watakatwa katika utaratibu mpya wa watia nia.
Tutegemee wabunge wapya bungeni kwa tiketi ya CCM.
Vyama vya CUF,NCCR,TLP vitamsimamisha mgombea uraisi wa CCM Raisi Magufuli ni katika mikakati ya kuunga juhudi za Magu.
Kama Chadema itamsimamisha Tindu Lissu atawekewa pingamizi na CCM kama alivyowekewa pingamisi Professor Mohammed Babu wa NCCR Mageuzi mwaka 1995.Watafute mgombea mwingine vinginevyo wataambuliwa patupu.
Yawezekana ACT mageuzi ya Zitto itafanya makubaliano na CCM kupewa au kuachiwa majimbo.Adui wa CCM siyo ACT bali Chadema.
Raisi Magufuli atatangazwa mshindi kabla ya kumaliza kuhesabu kura.
Kumekucha malaga ni sawa mwenye picha za uchi za mke wa mtu anamtishia ukininyima tu nasema kwa mumeo
Zindiko la mwenge limekiukwa uenda watu wakawa na akiliEeh.. Seriously...? Siamini ujue...
Jr[emoji769]