Uchaguzi 2020 Pambazuko la kipenga cha mwisho sehemu ya pili

Nothing lasts longer
 
Matamko ya polisi kwamba awatoshiriki dhuluma Kama ni kweli watajawwa na roho Mtakatifu wakimaanisha walichokisema,ccm wakatafute kazi zingine
 

Wimbo ulio bora naona unaandika, hebu jitazame kwenye kioo kisha soma tena ulichoandika, then njoo humu
 
Wimbo ulio bora naona unaandika, hebu jitazame kwenye kioo kisha soma tena ulichoandika, then njoo humu
Ukipata muda naomba unisaidie kujijibu

Jr[emoji769]
 
Eeh.. Seriously...? Siamini ujue...

Jr[emoji769]
Ndio mambo yanavyokwenda mkuu,ukiona wapenzi wanaojisifia sana mtaani kuwa wanapendana jua hawawezi kudumu,wamekaa Kisanii na wanaliana timing tu
 
Labda cha ajabu wapo wabunge wa CCM watakatwa katika utaratibu mpya wa watia nia.
Tutegemee wabunge wapya bungeni kwa tiketi ya CCM.
Vyama vya CUF,NCCR,TLP vitamsimamisha mgombea uraisi wa CCM Raisi Magufuli ni katika mikakati ya kuunga juhudi za Magu.

Kama Chadema itamsimamisha Tindu Lissu atawekewa pingamizi na CCM kama alivyowekewa pingamisi Professor Mohammed Babu wa NCCR Mageuzi mwaka 1995.Watafute mgombea mwingine vinginevyo wataambuliwa patupu.

Yawezekana ACT mageuzi ya Zitto itafanya makubaliano na CCM kupewa au kuachiwa majimbo.Adui wa CCM siyo ACT bali Chadema.

Raisi Magufuli atatangazwa mshindi kabla ya kumaliza kuhesabu kura.
 
Ndio mambo yanavyokwenda mkuu,ukiona wapenzi wanaojisifia sana mtaani kuwa wanapendana jua hawawezi kudumu,wamekaa Kisanii na wanaliana timing tu
Kwahiyo leo hii musiba naye analia kufanyiwa rough.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Raisi Magufuli atatangazwa mshindi kabla ya kumaliza kuhesabu kura. [emoji44][emoji44][emoji44][emoji119][emoji119][emoji119]

Jr[emoji769]
 
Kwahiyo leo hii musiba naye analia kufanyiwa rough.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
Tena na kichapo juu
 
Mkuu mshanar au umechungulia ile kafara ya forojo ganze hawajaienzi???kwamba kafara itafanyika kuwa anguko la ccm kufidia uzembe huo????Hebu nipe picha nishuhudie maajabu haya nije niwasimulie wajukuu wangu nikizeeka!!!
 
Unafikiri kizazi cha 1995 ndo kizazi cha 2020?? Unafikiri dunia ya 1995 ndo ya 2020??

Amini maneno yangu jaribu lolote dhidi ya Lissu litaongeza sympathy zaidi kwa Lissu na ndo itakuwa hatari kuu kwa usalama wa taifa letu na CCM kwa ujumla.

Jaribu la kumpiga risasi tu limempa umaarufu mkubwa na huruma kubwa kutoka kwa watu. Nakuhakikishia, Lissu akizuiwa kugombea Tanzania tujiandae kwa yale tuliyoyaona Ivory Coast na Sudan na sidhani Kama vyombo vya dola vikibanwa vitasimama upande wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…