Pamoja na kuchangiwa Bilioni 200 bado ameshindwa ushawishi na Mange Kimambi

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.

..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?

..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?

..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
 
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
CCM wameifikisha Nchi hii pabaya na ni lazima italipuka zaidi kule tuendako...
Wananchi wengi kuongozwa na Viongozi ambao hawakuchagua wenyewe,inaligharimu sana Taifa.
Mitaani huku hali ni mbaya sana..Ushirikiano wa Wananchi na Viongozi wao hakuna.
Ni migomo baridi tu na fitina za Kisiasa na huwezi kutegemea Amani wala Maendeleo katika mazingira hayo.
 
..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.

..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?

..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?

..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
porojo nyingine ni nonsense mno gentleman 🤣
 
..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.

..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?

..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?

..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
Yeye anasema matokeo ya mahela hayo ni kura zaidi ya 30 milioni alizopewa na waTanzania!

Bila hata ya aibu usoni, anasimama mbele za waTanzania na kujivunia uharamia huo, kana kwamba hao watu hawana akili vichwani mwao.
Wakihoji, wanatekwa na kuuawa. Kwa njia hiyo, yeye na genge lake wanajivunia kutengeneza AMANI Tanzania!

Tumepata watawala wa ajabu sana safari hii.
 
Huna akili wewe Uliyejaa akili Mgando . Rais Samia ni Akili mkubwa .Ni akili kiongozi inayoongoza siyo Tanzania tu bali Bara zima la Afrika kutokana na uwezo mkubwa wa kiakili alionao pamoja na maono ya kiuongozi.

Ndio maana Dunia haikushangaa bali ilifurahishwa pale alipoalikwa katika mkutano wa Nchi 20 Matajiri Duniani uliofanyika kule Brazil
 
Kweli hauna akili kabisa ama akili zako zipo sawa na huyo kimambe mwenye matatizo ya akili
 
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Ulitaka kura zihesabiwe kwa miaka mingapi ndio uridhike? Asha ushamba wako wewe. Teknolojia imekua na kusonga mbele . Ndio maana leo unaweza kufika hata Marekani kwa muda mfupi tu ama kusafiri Dar kwenda Mbeya kwa li saa limoja tu . Kwa hiyo acha kukariri vitu
 
Yeye anasema matokeo ya mahela hayo ni kura zaidi ya 30 milioni alizopewa na waTanzania!

Bila hata ya aibu usoni, anasimama mbele za waTanzania na kujivunia uharamia huo, kana kwamba hao watu hawana akili vichwani mwao.
Wakihoji, wanatekwa na kuuawa. Kwa njia hiyo, yeye na genge lake wanajivunia kutengeneza AMANI Tanzania!

Tumepata watawala wa ajabu sana safari hii.

..anajitutumua tu hamna kitu mle.

..kuwa na bil 200 za kampeni halafu badala ya kushinda kwa amani unauwa mpaka watoto hizo sio akili.
 
..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.

..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?

..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?

..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
We jamaa muongo, Sheria ya Uchaguzi hairuhusu Mgombea kutumia zaidi ya Bil 5
 
Muacheni mama apige kazi. Huyo mange kimambi anashawishi tuharibu nchi yetu huku yeye na watoto wake wanakula maisha kwa Trump
Kazi gani anayo piga huyo unaye muita mama zaidi ya kuteka na kuua watanganyika , unafiki wako mbaya sana, mange ndiye alimwambia awe anakumbatia vikosi vinavyo teka na kuua raia kisa hawakubaliani na sera zake
 
Huna akili wewe Uliyejaa akili Mgando . Rais Samia ni Akili mkubwa .Ni akili kiongozi inayoongoza siyo Tanzania tu bali Bara zima la Afrika kutokana na uwezo mkubwa wa kiakili alionao pamoja na maono ya kiuongozi.

Ndio maana Dunia haikushangaa bali ilifurahishwa pale alipoalikwa katika mkutano wa Nchi 20 Matajiri Duniani uliofanyika kule Brazil

you believe your own lies ...
 
Back
Top Bottom