Pamoja na kuchangiwa Bilioni 200 bado ameshindwa ushawishi na Mange Kimambi

Pamoja na kuchangiwa Bilioni 200 bado ameshindwa ushawishi na Mange Kimambi

Nani analilia Maridhiano? Asiyetaka kukaa mezani ataongozwa tu atake asitake.
Analilia maridhiano boss wako bi Chura wewe kidampa hulifahamu hilo, hakuna kitu kisheria kinachoitwa "atake asitake" huwezi kuua maelfu ya watu halafu utake kukubalika.

Hukumsikia majuzi anataka watu waje mezani kuongea nae mikono yakw ikiwa imejaaa damu na nguo zake zinachuruzika damu.
Rais Samia ataongoza Taifa hili hadi 2030 bila kikwazo cha aina yoyote ile
Hata Magufuli alisema ataongoza hadi 2025 na baada ya hapo akahaidiwa ataongoza hadi achoke mwenyewe .
 
Ulitaka kura zihesabiwe kwa miaka mingapi ndio uridhike? Asha ushamba wako wewe. Teknolojia imekua na kusonga mbele . Ndio maana leo unaweza kufika hata Marekani kwa muda mfupi tu ama kusafiri Dar kwenda Mbeya kwa li saa li

Ulitaka kura zihesabiwe kwa miaka mingapi ndio uridhike? Asha ushamba wako wewe. Teknolojia imekua na kusonga mbele . Ndio maana leo unaweza kufika hata Marekani kwa muda mfupi tu ama kusafiri Dar kwenda Mbeya kwa li saa limoja tu . Kwa hiyo acha kukariri vitu
Hakuna cha teknolojia kukua wala nini.
Acheni kutufanya watanzania ni wajinga.wote tunajua kura zinahesabiwa kwa mkono kama zilipigwa kwenye karatasi.
Swala la kusema eti teknolojia imekua ni kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Huyu muuaji amekataliwa kila mahala hata kwenye hizo hafla anazoshiriki kama mgeni rasmi audience unaona kabisa hawampi ushirikiano ni kama anawapotezea muda tu..........anakaza uso kwa uongo kuhadaa watu huku anafahamu kabisa hana ushawishi wowote na anafanya vile kwa maslahi yao tu.
 
Muacheni mama apige kazi. Huyo mange kimambi anashawishi tuharibu nchi yetu huku yeye na watoto wake wanakula maisha kwa Trump
Hebu twambie anaharibu vp nchi? Watanzania wameelimika wanajitambua wanajua kuchambua pumba na mchele......
 
..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.

..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?

..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?

..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
Huyo Mama ameshakataliwa na mbingu. Utukufu wa Mungu hauko naye
 
CCM wameifikisha Nchi hii pabaya na ni lazima italipuka zaidi kule tuendako...
Wananchi wengi kuongozwa na Viongozi ambao hawakuchagua wenyewe,inaligharimu sana Taifa.
Mitaani huku hali ni mbaya sana..Ushirikiano wa Wananchi na Viongozi wao hakuna.
Ni migomo baridi tu na fitina za Kisiasa na huwezi kutegemea Amani wala Maendeleo katika mazingira hayo.
Hakuna Rais anaechaguliwa na wananchi Duniani Bali Mungu ndio humpa amtakaye kama mlisusa uchaguzi ili kumkwamisha tusubiri 2030.
 
Huyu muuaji amekataliwa kila mahala hata kwenye hizo hafla anazoshiriki kama mgeni rasmi audience unaona kabisa hawampi ushirikiano ni kama anawapotezea muda tu..........anakaza uso kwa uongo kuhadaa watu huku anafahamu kabisa hana ushawishi wowote na anafanya vile kwa maslahi yao tu.
Na inabidi tuishi hivi mpaka akili iwakae sawa maana nchi nyingi Duniani zinaishi ki ubabe na utawala wa mkono wa chuma Tanzania tumechelewa sana kuishi maisha haya ndio maana unaona mambo yanaenda Sasa ivi. Kokote utakosifu Maendeleo Duniani jua Kuna umafia wanaufanya tena wa kutisha au Marekani na Israel hawaui watu kwa ajili ya usitawi wa Dola zao? Vivyo hivyo Tanzania usiposikia la mkuu utaliwa mshikaki tu.
 
Mfano wa hayo mambo yanayoenda please?
 
..Israel anauwa watu wa mataifa mengine ili yeye astawi, hauwi wananchi wake mwenyewe.

..Na chaguzi za Israel ni ngumu kwelikweli, ushindi ni mwembamba. Mara kadhaa Netanyahu amelazimika kuunda serikali ya mseto.
 
Mkuu jokakuu, umegusa donda ndugu la siasa za sasa. Huu ni ukweli ulio wazi kabisa.
Hali hii inathibitisha kuwa CCM kama chama tawala kimebaki na magorofa na mifumo ya dola, lakini kimepoteza uhalali (legitimacy) ndani ya mioyo ya wananchi. Ile dhana ya kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi imekufa. Sasa hivi kimekuwa chama kinachoendeshwa na genge la matajiri (mafisadi) wanaomwaga mabilioni ili kulinda maslahi yao, badala ya kutatua kero za msingi za kijamii.
Kuporomoka kwa uaminifu wa CCM mbele ya Watanzania kunajidhihirisha katika maeneo haya:
  • Kushindwa Vita ya Hoja na Propaganda: Ni aibu kubwa kwa chama kikongwe chenye rasilimali zote za nchi, vyombo vya habari, na fedha za walipakodi, kushindwa kujenga hoja za kuwateka wananchi. Kujikuta wanazidiwa kete na mwanaharakati mmoja wa mtandaoni (Mange) kunaonesha jinsi gani propaganda za CCM zilivyochuja na zisivyo na soko tena kwa Watanzania wa leo.
  • Matumizi ya Mabavu Kama Kinga: Sababu pekee inayofanya CCM ionekane bado ipo madarakani ni kwasababu inajificha nyuma ya migongo ya vyombo vya usalama. Vyombo hivi vimegeuzwa kuwa ngao ya kuzuia hasira na kutoridhika kwa wananchi. Chama chochote kinacholazimika kutumia nguvu kubwa ya dola kudhibiti raia wake kimeshapoteza ushawishi wa kisiasa.
  • Kizazi Kipya na Kupaa kwa Teknolojia: CCM bado inafanya siasa za kizamani za kugawa kofia na t-shirt huku ikiamini itaziba akili za watu. Mtandao wa internet na simu janja umewafungua macho Watanzania. Wananchi wa leo wanahoji matokeo ya kodi zao, mfumuko wa bei, ukosefu wa ajira, na huduma mbovu za jamii. Haununui tena uzalendo wa kijani na njano kwa maneno matupu.
Nchi imekwama kwa sababu viongozi waliopo sasa hawana maono (vision) zaidi ya kufikiria uchaguzi ujao na jinsi ya kubaki madarakani. Huwezi kutumia bilioni 200 kusafisha taswira ya utawala unaoshindwa kutoa maji safi, umeme wa uhakika, na elimu bora. Uaminifu ukishapotea, hata umwage fedha kiasi gani, wananchi watachukua hela lakini mioyo yao ipo kwingine.
Uzi mzuri sana mkuu unaoakisi uhalisia wa sasa wa chama tawala kupoteza mwelekeko!
 
Back
Top Bottom