CCM wameifikisha Nchi hii pabaya na ni lazima italipuka zaidi kule tuendako...Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
porojo nyingine ni nonsense mno gentleman 🤣..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.
..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?
..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?
..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
Yeye anasema matokeo ya mahela hayo ni kura zaidi ya 30 milioni alizopewa na waTanzania!..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.
..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?
..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?
..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
Nani analilia Maridhiano? Asiyetaka kukaa mezani ataongozwa tu atake asitake. Rais Samia ataongoza Taifa hili hadi 2030 bila kikwazo cha aina yoyote ileHakika ni aibu sana kusema mtu umechaguliwa kwa 98% halafu bado unalilia maridhiano.
Kweli hauna akili kabisa ama akili zako zipo sawa na huyo kimambe mwenye matatizo ya akiliYeye anasema matokeo ya mahela hayo ni kura zaidi ya 30 milioni alizopewa na waTanzania!
Bila hata ya aibu usoni, anasimama mbele za waTanzania na kujivunia uharamia huo, kana kwamba hao watu hawana akili vichwani mwao.
Wakihoji, wanatekwa na kuuawa. Kwa njia hiyo, yeye na genge lake wanajivunia kutengeneza AMANI Tanzania!
Tumepata watawala wa ajabu sana safari hii.
Ulitaka kura zihesabiwe kwa miaka mingapi ndio uridhike? Asha ushamba wako wewe. Teknolojia imekua na kusonga mbele . Ndio maana leo unaweza kufika hata Marekani kwa muda mfupi tu ama kusafiri Dar kwenda Mbeya kwa li saa limoja tu . Kwa hiyo acha kukariri vituRais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Wewe ndiye hutakiwi na huyu mwehu wenu aliyepuuzwa na watanzania? Mmekataliwa na watanzania kuandamana na sasa mnajifanya kuleta hasira zenu hapaMange ni kama petrol tu kwenye kuni kavu zinazowaka, wananchi hawamtaki huyu bibi
Muacheni mama apige kazi. Huyo mange kimambi anashawishi tuharibu nchi yetu huku yeye na watoto wake wanakula maisha kwa Trump
Yeye anasema matokeo ya mahela hayo ni kura zaidi ya 30 milioni alizopewa na waTanzania!
Bila hata ya aibu usoni, anasimama mbele za waTanzania na kujivunia uharamia huo, kana kwamba hao watu hawana akili vichwani mwao.
Wakihoji, wanatekwa na kuuawa. Kwa njia hiyo, yeye na genge lake wanajivunia kutengeneza AMANI Tanzania!
Tumepata watawala wa ajabu sana safari hii.
We jamaa muongo, Sheria ya Uchaguzi hairuhusu Mgombea kutumia zaidi ya Bil 5..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.
..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?
..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?
..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
We jamaa muongo, Sheria ya Uchaguzi hairuhusu Mgombea kutumia zaidi ya Bil 5
Hakika ni aibu sana kusema mtu umechaguliwa kwa 98% halafu bado unalilia maridhiano.
Kazi gani anayo piga huyo unaye muita mama zaidi ya kuteka na kuua watanganyika , unafiki wako mbaya sana, mange ndiye alimwambia awe anakumbatia vikosi vinavyo teka na kuua raia kisa hawakubaliani na sera zakeMuacheni mama apige kazi. Huyo mange kimambi anashawishi tuharibu nchi yetu huku yeye na watoto wake wanakula maisha kwa Trump
Huna akili wewe Uliyejaa akili Mgando . Rais Samia ni Akili mkubwa .Ni akili kiongozi inayoongoza siyo Tanzania tu bali Bara zima la Afrika kutokana na uwezo mkubwa wa kiakili alionao pamoja na maono ya kiuongozi.
Ndio maana Dunia haikushangaa bali ilifurahishwa pale alipoalikwa katika mkutano wa Nchi 20 Matajiri Duniani uliofanyika kule Brazil