Analilia maridhiano boss wako bi Chura wewe kidampa hulifahamu hilo, hakuna kitu kisheria kinachoitwa "atake asitake" huwezi kuua maelfu ya watu halafu utake kukubalika.Nani analilia Maridhiano? Asiyetaka kukaa mezani ataongozwa tu atake asitake.
Hata Magufuli alisema ataongoza hadi 2025 na baada ya hapo akahaidiwa ataongoza hadi achoke mwenyewe .Rais Samia ataongoza Taifa hili hadi 2030 bila kikwazo cha aina yoyote ile
Naam, au akafukue maiti alizosema zizikwe katika makaburi ya halaiki akaridhiane nazo...akaridhiane na Mange Kimambi maana ndiye hasimu wake.
Sheria na matumizi ya bilioni tano ni kitu kimoja na matumizi ya kihunikihuni ya CCM ni jambo tofauti.Hilo nalo unataka utandikwe viboko shingoni ili uelewe?We jamaa muongo, Sheria ya Uchaguzi hairuhusu Mgombea kutumia zaidi ya Bil 5
Hii haina comeback dadeq!Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Ulitaka kura zihesabiwe kwa miaka mingapi ndio uridhike? Asha ushamba wako wewe. Teknolojia imekua na kusonga mbele . Ndio maana leo unaweza kufika hata Marekani kwa muda mfupi tu ama kusafiri Dar kwenda Mbeya kwa li saa li
Hakuna cha teknolojia kukua wala nini.Ulitaka kura zihesabiwe kwa miaka mingapi ndio uridhike? Asha ushamba wako wewe. Teknolojia imekua na kusonga mbele . Ndio maana leo unaweza kufika hata Marekani kwa muda mfupi tu ama kusafiri Dar kwenda Mbeya kwa li saa limoja tu . Kwa hiyo acha kukariri vitu
Hebu twambie anaharibu vp nchi? Watanzania wameelimika wanajitambua wanajua kuchambua pumba na mchele......Muacheni mama apige kazi. Huyo mange kimambi anashawishi tuharibu nchi yetu huku yeye na watoto wake wanakula maisha kwa Trump
Huyo Mama ameshakataliwa na mbingu. Utukufu wa Mungu hauko naye..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.
..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz, hali ingekuwaje?
..Kwani Mabeberu wanamfadhili Mange fedha kiasi gani? Na Mama Abduli ana kiasi gani ukiacha bil 200 alizochangiwa na mafisadi?
..Nchi ime-stuck kwasababu ya ukilaza wa Mama Abduli.
Hakuna Rais anaechaguliwa na wananchi Duniani Bali Mungu ndio humpa amtakaye kama mlisusa uchaguzi ili kumkwamisha tusubiri 2030.CCM wameifikisha Nchi hii pabaya na ni lazima italipuka zaidi kule tuendako...
Wananchi wengi kuongozwa na Viongozi ambao hawakuchagua wenyewe,inaligharimu sana Taifa.
Mitaani huku hali ni mbaya sana..Ushirikiano wa Wananchi na Viongozi wao hakuna.
Ni migomo baridi tu na fitina za Kisiasa na huwezi kutegemea Amani wala Maendeleo katika mazingira hayo.
Hakuna kiongozi anaependwa ukiona we kiongozi na unapendwa sana jua we una walakini tu.Uzuri hata yeye anajua hapendwi
Na inabidi tuishi hivi mpaka akili iwakae sawa maana nchi nyingi Duniani zinaishi ki ubabe na utawala wa mkono wa chuma Tanzania tumechelewa sana kuishi maisha haya ndio maana unaona mambo yanaenda Sasa ivi. Kokote utakosifu Maendeleo Duniani jua Kuna umafia wanaufanya tena wa kutisha au Marekani na Israel hawaui watu kwa ajili ya usitawi wa Dola zao? Vivyo hivyo Tanzania usiposikia la mkuu utaliwa mshikaki tu.Huyu muuaji amekataliwa kila mahala hata kwenye hizo hafla anazoshiriki kama mgeni rasmi audience unaona kabisa hawampi ushirikiano ni kama anawapotezea muda tu..........anakaza uso kwa uongo kuhadaa watu huku anafahamu kabisa hana ushawishi wowote na anafanya vile kwa maslahi yao tu.
Mfano wa hayo mambo yanayoenda please?Na inabidi tuishi hivi mpaka akili iwakae sawa maana nchi nyingi Duniani zinaishi ki ubabe na utawala wa mkono wa chuma Tanzania tumechelewa sana kuishi maisha haya ndio maana unaona mambo yanaenda Sasa ivi. Kokote utakosifu Maendeleo Duniani jua Kuna umafia wanaufanya tena wa kutisha au Marekani na Israel hawaui watu kwa ajili ya usitawi wa Dola zao? Vivyo hivyo Tanzania usiposikia la mkuu utaliwa mshikaki tu.
Na inabidi tuishi hivi mpaka akili iwakae sawa maana nchi nyingi Duniani zinaishi ki ubabe na utawala wa mkono wa chuma Tanzania tumechelewa sana kuishi maisha haya ndio maana unaona mambo yanaenda Sasa ivi. Kokote utakosifu Maendeleo Duniani jua Kuna umafia wanaufanya tena wa kutisha au Marekani na Israel hawaui watu kwa ajili ya usitawi wa Dola zao? Vivyo hivyo Tanzania usiposikia la mkuu utaliwa mshikaki tu.
Watu wenye akili wanajua nchi inaharibiwa na CCM wenyewe kina Samia Nk.Muacheni mama apige kazi. Huyo mange kimambi anashawishi tuharibu nchi yetu huku yeye na watoto wake wanakula maisha kwa Trump