Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Nyie mnaoamini
Maisha ni pesa kuna mbinu zaidi ya pesa
CHAN imenifundisha mengi sana nisidharau mtu sababu ya pesa
unaweza ukaahidiwa mamilioni ukaishia kupata history ulikuwepo CHAN
Nimewaza yale mamilioni waliyoahidiwa yameishia wapi
Na nyie wanahabari na unafiki wenu wa DRW NA MADAGASCAR unashangilia
Mkome kutusabahi na uandishi wenu