The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Guys
inaonekana kalazimishwa kuja TZ.body language imekataa kabisa aha hanha ila sisi ndo tunashoboka hatari.
Ukimwangalia yaani kama haelewi kinachoendelea endelea anabaki kushangaa shangaa tu.na madrama yenu.
.