Pamoja na kuja Tanzania uso wa Rio Fernand hauna Tabasamu

Kwanza mchezaji mwenyewe alisha-declare kufirisika atakuwa na furaha...Yeye na Wesley Brown.

Pili lazima watu wajue mchezo wa soka haunaga shukrani zama zako zikiisha.
Huyu Rio na mdogo wake Antony Ferdinand zao zilishapita Westham, Leeds, United baadaye Qpr.
Hakuna Rio anachoweza kuitangaza Tanzania tena...hana mvuto, hakuna anayemwongelea tena huko UK..

Waingereza wenzake wanamchukulia kama sisi wabongo wanavyowachukulia leo akina Pawasa au Juma Nyosso.......Sasa leo Pawasa atapewa endorsement na kampuni ipi..

Rio alitembelea Uganda 2007 wakati huo akiwa bado ni mchezaji wa moto.
Atleast Uganda wao walikuwa na akili.sio sisi
 
Vitu anavyokutana navyo ni tofauti kabisa, anashangaa mbona kama nakuja kufanya siasa za kusifu Hapa wakati niliambiwa ni ishu Tu za kimichezo nk, mara kashikishwa jezi nk yaani tafrani, Kila wakati anapigwa picha Tu, haambiwi program za kimichezo zikoje, kuingia mitandaoni ni picha Tu za propaganda.
 
Nahisi Rio Ferdinand Kila akichungulia page yake ya Instagram comment zile zinazidi kumchanganya anaona duuh mbona kama nimeyakanyaga unadhani furaha itatoka wapi

Mchezaji mwenyewe Ni kama erasto nyoni wa ulaya vijana wengi wa gen Z hata hawamjui
 
chadema hamuelewi kitu kinaitwa kufungua nchi hii kitu inawapiga chenga sana

4R nazo mlichemka hivyo sishangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…