Pamoja na kuja Tanzania uso wa Rio Fernand hauna Tabasamu

Kumbe maigizo yote haya lengo ni kumsafisha Samia, mkakati huu hauwezi kabisa kufaulu ni kupoteza muda tu na fedha.
 
Bongo vituko sana πŸ˜„πŸ˜
 
chadema hamuelewi kitu kinaitwa kufungua nchi hii kitu inawapiga chenga sana

4R nazo mlichemka hivyo sishangai
😁😁😁 Kwahiyo hapo mnanifaika na Nini !? Taifa Lina nufaikaje na Huyo Rio !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…