Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wameahidiwa bata na Lissu... Ila sisi na JPM tunakula kuku tu huku tukipiga kaziHili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe .
Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile , wameteswa , wamepotezwa , wamepigwa risasi , wamefungwa , wamebaguliwa , wamebezwa , wametukanwa kila aina ya matusi na kufanyiwa kila unyama , lakini mbona bado wana furaha ? kwanini ?
Maccm tulikuwa tunayachora tu, na yenyewe yakahisi tumeyaelewa, shenjiiiiiHili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe .

Mkuu unachangia uzi huu huu ?Wameahidiwa bata na Lissu... Ila sisi na JPM tunakula kuku tu huku tukipiga kazi
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Maccm tulikuwa tunayachora tu, na yenyewe yakahisi tumeyaelewa, shenjiiiiiHili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe .
Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile , wameteswa , wamepotezwa , wamepigwa risasi , wamefungwa , wamebaguliwa , wamebezwa , wametukanwa kila aina ya matusi na kufanyiwa kila unyama , lakini mbona bado wana furaha ? kwanini ?
Sisi tunakula vya halali. Tuna shughuli zetu binafsi za kutuingizia vipato. Tunalima, tunafanya umachinga. Hatutegemei uchawi, dhulma, mauwaji kupata vipato. Tuna amani na dhamiri zetu ni safiHili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe .
Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile , wameteswa , wamepotezwa , wamepigwa risasi , wamefungwa , wamebaguliwa , wamebezwa , wametukanwa kila aina ya matusi na kufanyiwa kila unyama , lakini mbona bado wana furaha ? kwanini ?
Yaani miaka mitano imeisha tukiwa wa baridi mno. Asante Mungu kutuletea Lissu.Maccm tulikuwa tunayachora tu, na yenyewe yakahisi tumeyaelewa, shenjiiiii
Hapo sawa
Project yako yaAsilimia kubwa mnafurahia.. wengine sio wanachama.. bali ni mafisadi na wahujumu uchumi wenzenu.. ni muvi tu mkijuwa siku ya siku.. tena muvi lenu musisahau tutawakumbusha.. mupo vidunchu mnajifurahishaaaaa.. tumewazoea porojo na kutunga uongo.. kama hii hakunwa purufu [emoji14].. lazima Magufuli [emoji736]
Uso umekushuka kwa aibu. Umesema sana ooh Lissu harudi, akirudi anafikia segerea or sijui nyoko. Sasa karudi na Life linaendelea. Wachawi roho zinawauma.Asilimia kubwa mnafurahia.. wengine sio wanachama.. bali ni mafisadi na wahujumu uchumi wenzenu.. ni muvi tu mkijuwa siku ya siku.. tena muvi lenu musisahau tutawakumbusha.. mupo vidunchu mnajifurahishaaaaa.. tumewazoea porojo na kutunga uongo.. kama hii hakunwa purufu π.. lazima Magufuli β
Watu wote hawa ndio wale wale wa facebook?? Chadema ya mitandao ya kijamii.π π πAsante tumekaribishwa virtually vyema kijijini Unyahati Singida, Tanzania. Watu wasiojulikana wabaya sana, Mh. Tundu Lissu lazima tusherehekee uzima wako kila tunapokutana nawe.
Bila kujali kama nakubaliana na heading ya post yako au la, this is one of the best vidio clips niliyopata kuiona mwaka huu! Inaeleza mengi. Imejaa hisia kali za upendo, ubinadamu na Utukufu wa Mungu MuumbaHili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe.
Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi, wamefungwa, wamebaguliwa, wamebezwa, wametukanwa kila aina ya matusi na kufanyiwa kila unyama, lakini mbona bado wana furaha? Kwanini?
Lissu toka aingie nchini taifa lina amani.Asante tumekaribishwa virtually vyema kijijini Unyahati Singida, Tanzania. Watu wasiojulikana wabaya sana, Mh. Tundu Lissu lazima tusherehekee uzima wako kila tunapokutana nawe.