Pamoja na kukandamizwa sana kwanini wanachama wa upinzani nchini Tanzania bado wamejawa na furaha tele?

Pamoja na kukandamizwa sana kwanini wanachama wa upinzani nchini Tanzania bado wamejawa na furaha tele?

Hili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe.

Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi, wamefungwa, wamebaguliwa, wamebezwa, wametukanwa kila aina ya matusi na kufanyiwa kila unyama, lakini mbona bado wana furaha? Kwanini?
Socialites.....nimekumbuka hadi nyumbani ninapoona watanzania wanashirikiana hivi kwa furaha na amani. It is very touching. Very impressing
 
Back
Top Bottom