Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Hivi hii cklabu au fraternity ya wapiganaji ina criteria zipi ili mtu awe amequalify kuwa one of them
Maana awali nilivyokuwa naelewa (unless kuna mtu anaweza kunikosoa) ulikuwa msamiati ambao ulikuwa watumiwa sana na Kambi ya Upinzani na hasa CHADEMA...then ikaingia kundi la pili la wanaotaka kwenye tabala la watawala ambao ni CCM na waliokuwa wameweka impression kuwa wanapinga status quo ndani ya CCM yaani Mwakyembe, Spika Sitta et al, then ukaibuka ugovi wa Mengi vs Rostam et al...hivyo Mengi naye akaingizwa kwenye mkumbo wa hao of the so called "wapiganaji"
Inawezekana ikawa CCM MAFISADI na WAPIGANAJI lao moja? yaani Mengi Mwakyembe, Sitta, Seleli, Slaa, Freeman Mbowe, Mnyika na ma cheeeleaders wao hapa JF wote ni WANAFIKI?
Hivi inawezekana ikawa hawa the so called wapiganaji wamekuwa planted na waheshimiwa ili wawachanganye wananchi..😕😕😕
Unless kuna mtu anaweza kuja kutufafanilia haya Matabaka 6 ya wapiganaji...na je mtu kama Kubenea atakuwa kwenye Tabaka gani?