Pamoja na kumtumia Mengi mikakati 14 ya Wapiganaji CCM itawaangusha

Pamoja na kumtumia Mengi mikakati 14 ya Wapiganaji CCM itawaangusha

Hivi hii cklabu au fraternity ya wapiganaji ina criteria zipi ili mtu awe amequalify kuwa one of them

Maana awali nilivyokuwa naelewa (unless kuna mtu anaweza kunikosoa) ulikuwa msamiati ambao ulikuwa watumiwa sana na Kambi ya Upinzani na hasa CHADEMA...then ikaingia kundi la pili la wanaotaka kwenye tabala la watawala ambao ni CCM na waliokuwa wameweka impression kuwa wanapinga status quo ndani ya CCM yaani Mwakyembe, Spika Sitta et al, then ukaibuka ugovi wa Mengi vs Rostam et al...hivyo Mengi naye akaingizwa kwenye mkumbo wa hao of the so called "wapiganaji"

Inawezekana ikawa CCM MAFISADI na WAPIGANAJI lao moja? yaani Mengi Mwakyembe, Sitta, Seleli, Slaa, Freeman Mbowe, Mnyika na ma cheeeleaders wao hapa JF wote ni WANAFIKI?

Hivi inawezekana ikawa hawa the so called wapiganaji wamekuwa planted na waheshimiwa ili wawachanganye wananchi..😕😕😕

Unless kuna mtu anaweza kuja kutufafanilia haya Matabaka 6 ya wapiganaji...na je mtu kama Kubenea atakuwa kwenye Tabaka gani?
 
Weka dots mwenyewe utuambia sisi wengine tunaamini kinachotakiwa ni CCM yote itoke siyo ya kina lowassa wala ya kina Mwakyembe we care less...wote ni mafisadi tena si kwa mwaka 1 miaka hamsini iliyopita lol
Sitta alikuwepo serikalini for years he just an old folk who can change nothing within the system..after all he is not willing that to happen maana lazima itaondoka naye...CCM tulishapewa tafsiri yake zamani, majambazi, mafisadi ..just to name few..lol ni wote ndugu..
 
I agree with you MM
"Politics is the dirty game leave to those who know to play it" by chinua achebe
 
Weka dots mwenyewe utuambia sisi wengine tunaamini kinachotakiwa ni CCM yote itoke siyo ya kina lowassa wala ya kina Mwakyembe we care less...wote ni mafisadi tena si kwa mwaka 1 miaka hamsini iliyopita lol
Sitta alikuwepo serikalini for years he just an old folk who can change nothing within the system..after all he is not willing that to happen maana lazima itaondoka naye...CCM tulishapewa tafsiri yake zamani, majambazi, mafisadi ..just to name few..lol ni wote ndugu..

Please try to be realistic and objective. Jazba hazitufikishi tunakotaka twende.

Ndani ya miaka 20 na ushei baada ya Uhuru ufisadi haukuwepo nchini hata kama ulijaribu kujitokeza Mwalimu na timu yake ya Mawaziri Wakuu wote aliowateua walikuwa wanajua wajibu wao na walishughulikia masuala yoyote ya kifisadi yaliyojaribu kujitokeza.

Wakati mwingine nawashangaa vijana wanaokandia old folks walioshika hatamu kwenye nyadhifa mbalimbali. Wakati wote mimi huamini kwamba vijana ni militant na wanaweza 'kupindua' nchi wakidhamiria. Sioni hilo likitokea. Tunaona hapa jamiiforums watu wanaandika kwa jazba lakini hawajitokezi kuwania nafasi za uongozi ama kujaribu kuungana ili kushinikiza mabadiliko dhidi ya wazee.

Vijana akina 'pangu pakavu tia mchuzi' ndani ya CCM, CHADEMA nk hatuoni la maana wanalofanya hata kwenye vyama vyao zaidi ya kupalilia migogoro kutekwa na kukumbatia mafisadi.

Vijana zindukeni nchi ni yenu acheni kulalamikia wazee wakati ninyi ndio taifa la leo na kesho!
 
Naungana na wana JF kwamba tatizo la wanasiasa wengi ni woga wa kudondosha kitumbua chao. Kwa hiyo wanajikuta wanalinda maslahi yao kuliko maslahi ya nchi pale inapofikia kutoa maamuzi yenye risk.

CCM ishajidhihirisha kwamba ni chama cha mafisadi kutokana na mwenendo wa viongozi wao - NEC. Hivyo ni vigumu wala sio sahihi kupambana nao ukiwa ccm. Ni sawa na kukata tawi la mti ukiwa umelikalia.

Mimi naamini kwamba hawa wapiganaji wana nia njema ila tu woga wao unawaponza kiasi kwamba umeyeyusha mbinu na mikakati yao.

Kila kitu kina garama yake. Wajitoe mhanga watoke kwenye kifungo cha CCM. Suala ya kwamba siku moja wapiganaji wataiteka CCM ni ndoto, kwani wanaochagua viongozi ndio hao hao NEC ya CCM sasa wapiganaji watapita wapi kushika usukani. Wajifunze kwa wapiganaji wengine kama G55 walivyosambaratishwa. Nao taratibu watashughulikiwa kimya kimya - tunaona Makamba ameshawafuata huko huko na kuwapunguzia munkari kama Mwanakijiji alivyohojil.

Vita ni vita

A politician is a person who can make waves and then make you think he's the only one who can save the ship.
- Ivern Ball mchili hawa jamaa hawana lolote laoa ni moja tu bwana wanataka sisi tuwaone waonibora kuliko wengine kwani ccm wanachama wangapi wasiopenda ufisadi nawako kimya hawa jamaa na mengi wao wan jambo hakunakti hapa changa la macho.
 
Back
Top Bottom