Pamoja na kupitia wakati mgumu CHADEMA inazidi kuimarika mioyoni mwa Watanzania

Pamoja na kupitia wakati mgumu CHADEMA inazidi kuimarika mioyoni mwa Watanzania

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania.

CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola.

Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania.

Watanzania wana imani na chama makini chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa.

image_search_1645778943324.jpg
 
Uanachama ni kadi, uanachama wa moyoni unauthibitishaje? Baadae ndio mnalia mmeibiwa kura
 
Actually Sasa Chadema imeimarika zaidi kuliko wakati wowote. Watu wanasubiri "kulipuke" waoneshe mapenzi na Chadema. Samia anaijenga Chadema kwa.moyo wake na akili yake. Hata Wana CCM wanachukia haya anayofanyiwa Mbowe! Kil mmoja analaani ukiacha chawa wachache ingawa rohoni mwao wanakiri kuonewa Mbowe
 
Huu ndio ukweli, 'wamezima' wangapi! wamefunga wangapi! wamenunua wangapi!
CDM ipo mioyoni mwetu na wanazidi kuzaliwa wengine wenye ari na ujasiri zaidi.
 
Back
Top Bottom