Actually Sasa Chadema imeimarika zaidi kuliko wakati wowote. Watu wanasubiri "kulipuke" waoneshe mapenzi na Chadema. Samia anaijenga Chadema kwa.moyo wake na akili yake. Hata Wana CCM wanachukia haya anayofanyiwa Mbowe! Kil mmoja analaani ukiacha chawa wachache ingawa rohoni mwao wanakiri kuonewa Mbowe