Pamoja na Kushinda Bado Simba Kiwango Kipo Chini

Inaonekana kutaka kujamba sana ila ghafla umeacha vipi tena mtani? Bora ungejamba kabisa timu gani hiyo inayofungwa ila inacheza juu ya kiwango. Timu zote zimeonja maumivu ya kufungwa isipokuwa 1 tu. Waliosema mwaka 2022 Simba itaanza kugungwa atakapocheza na Azam,maajabu Azam ndio waliowafunga wao. What goes around is what comes around.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Safi Sana,hii inaitwa makavu laivu.
 
Mpira sio chenga ni magoli
 
Eti kiufundi simba iko bora kuliko yanga,,lakini siwezi kukukatalia maana ushasema wewe ndo unaamini ivyo Kama shabiki wa simba na sio Kama mtu anaejua mpira, kuna tofauti ya mtu anaejua mpira na shabiki wa timu fulani ukiwaambia wayachambue mambo kiufundi utapata pumba na mchele!
 

Mbona hutaki kusema Simba wamekosa nafasi ngapi?
 
matatizo kaanzisha azam analaumiwa simba. Nasema hivii, azam alaaniwe....
 
Sasa umepost utumbo gani huu
 
Kazi ya kipa pale golini Ni nini mkuu ndugu yangu.

Kwahiyo Namungo kupiga mashuti Manula aka okoa basi simbay Ni mbovu.

Kwani Manula kuokoa so ndio ubora wenyewe wa Simba au mm nawaza tofauti.

Ili ushinde mechi unakuwa makini kuzitumia nafasi na kutumia makosa ya mpinzani wako.

Ubora wa Simba ndiyo chanzo cha Namungo KUSHINDWA kuhimili na kufanya makosa na hatimaye kuadhibiwa. Sasa Simba inakuwaje haina kiwango bora. Au kushinda mechi nao ni udhaifu.

Nb: Siku zote timu bora ndiyo inayopata matokeo mazuri. Namaanisha anayeondoka na point 3 ndiye bora.

Utopolo km Utopolo huwa hamnaga akili. Au nsema uongo ndugu zangu?
 
Ulitaka Manula naye afungwe 9 ndio ufarijike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…