Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Katika suala la Mh Kanyasu nakuunga mkono;
Anateteaje udhalimu?? Au kuna mahala amehusika katika sakata hili kwa namna moja au nyingine??[emoji848][emoji848]
Ccm huo ndiyo utamaduni wenu wa kukwapua Mali za umma
 
Kweli kabisa, mimi nilikuwa msimamizi wa uchaguzi huu, katika kituo changu Lissu alipata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyo bandikwa ni lissu 06 na Magufuli 370 hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Majizi wakubwa hawo mchicha wa kibasila
 
Ndiyo hali halisi nchini. Ujinga umeathiri fikra kiasi kwamba Watanzania wengi wanaamini kwamba ujinga walionao ni werevu, yaani wanajua, lakini pia wao wenyewe hawajui kwamba hawajui. Na hii ndiyo maana halisi ya upumbavu.
 
Ni madudu tu haukuwa uchaguzi huru na haki Kama wanavyosema
 
Ndiyo hali halisi nchini. Ujinga umeathiri fikra kiasi kwamba Watanzania wengi wanaamini kwamba ujinga walionao ni werevu, yaani wanajua, lakini pia wao wenyewe hawajui kwamba hawajui. Na hii ndiyo maana halisi ya upumbavu.
🤣🤣Wewe mwerevu una muelekeo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…