Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Umeandika vizuri sana . Na mimi nimeandika mara kadhaa kwamba ishu siyo kufuata taratibu bali ni maamuzi. Huwezi kuamua kununua gari ya milioni 460 kwa hela za barrick huku watoto wakikaa chini shuleni. Yaani baba wewe ununue gari huku watoto wako hawana chakula wala mahali pa kulala! Upumbavu wa kiwango cha phd
Duh!
Kwa swali hili,wakubwa wajiongeze!
Mkoa wa Rukwa,Katavi,Kigoma na mikoa mingine barabara za lami bado hazijaunganisha Wilaya na Mikoa.
Lakini Dar es salaam,inajengwa daraja juu ya maji ,inaonekana sio tatizo!
Wale viongozi wajuu wanabadilisha na kutumia magari yenye gharama kubwa,lakini wao hawaoni kama ni tatizo.
 
Ee Mola tunaomba ulinusuru hili Taifa. Kama ni hivyo kweli, tuna shida kubwa. Ni kama Taifa lililoja MASHETANI.
Hili Taifa haliwezi kusimama Tena kwasababu sisi wananchi hatuko tayari kulinusuru halafu waletulio waamini nao wanatuangusha
 
Back
Top Bottom