Umeandika vizuri sana . Na mimi nimeandika mara kadhaa kwamba ishu siyo kufuata taratibu bali ni maamuzi. Huwezi kuamua kununua gari ya milioni 460 kwa hela za barrick huku watoto wakikaa chini shuleni. Yaani baba wewe ununue gari huku watoto wako hawana chakula wala mahali pa kulala! Upumbavu wa kiwango cha phd