Pamoja na kuwa kwenye hali ya vita, rasilimali chache za ardhi na udogo wa nchi, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi mashariki ya Kati

Pamoja na kuwa kwenye hali ya vita, rasilimali chache za ardhi na udogo wa nchi, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi mashariki ya Kati

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east

N:B: Ule msaada wa dola bilioni 3 wanaopewa na Marekani kila mwaka haufikii asilimia 1 %

1728327679508.png

Hujaweka misaada na incentives toka ulaya na marekani,ungeondoa na vikwazo kwa Iran tangu 1979
Msaada wa dola bilioni 3 ni kitu gani kwenye nchi yenye uchumi wa dola nilioni 530 kwa mwaka huu wakiwa vitani ?

Israel inanunua silaha zake nyingi kwa cash, ndege kama f35 ni shilingi bilioni 270 wamenunua fleet, kombora moja la ironi dome ni zaidi ya shilingi milioni 100

Pia usisahau kwa Marekani pekee takribani nusu ya mabilione ni wayahudi.
 
Msaada wa dola bilioni 3 ni kitu gani kwenye nchi yenye uchumi wa dola nilioni 500
Dola bilioni tatu kila mwaka ni msaada wa ulinzi toka marekani,mwaka jana ukaongezeka,nimetaja pia incentives zingine, halafu piga hesabu Iran bila vikwazo angekua wapi,ana vikwazo tangu 1979
 
Dola bilioni tatu kila mwaka ni msaada wa ulinzi toka marekani,mwaka jana ukaongezeka,nimetaja pia incentives zingine, halafu piga hesabu Iran bila vikwazo angekua wapi,ana vikwazo tangu 1979
Dola bilioni 3 ni asilimia ngapi kwenye bilioni 530 kwa mwaka huu pekee licha ya kuwa vitani ?
 
Dola bilioni tatu kila mwaka ni msaada wa ulinzi toka marekani,mwaka jana ukaongezeka,nimetaja pia incentives zingine, halafu piga hesabu Iran bila vikwazo angekua wapi,ana vikwazo tangu 1979
Sasa huyo Iran si anasaidiwa na Allah, china na Russia?
 
Hujaweka misaada na incentives toka ulaya na marekani,ungeondoa na vikwazo kwa Iran tangu 1979
Mkuu Iran anasaidiwa na Allah, Urusi na China mbona yuko hoi kiuchumi? Yani hata Allah muweza wa yote anashindwa kuzuia na kuondoka hizo vikwazo?
 
Israel ni taifa ombaomba na nyang'anyi....marekani anawapa dola bilioni 14 kila mwaka...achilia mbali Uingereza na mataufa mengine ya Ulaya...sasa sijui unazungumzia uchumi gani waliokuwa nao
 
Dola bilioni 3 ni asilimia ngapi kwenye bilioni 530 kwa mwaka huu pekee licha ya kuwa vitani ?
Ulilisikia vuguvugu la watu na wanafunzi USA na ulaya kutaka vyuo vikuu na makampuni ku-diversify uwekezaji wao kutoka israel!?..yaani vyuo na companies zinafanya uwekezaji israel Ili tu kuipiga tafu,wala havina uhitaji wa kuwekeza huko, uchumi wa israel ni uchumi feki
 
Back
Top Bottom